ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,117
- 1,428
Kwanza napongeza manispaa ya Temeke kwa kututengenezea barabara zetu baada ya kuharibiwa vibaya sana na wenye malori.
Naomba wahusika- Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na wote wenye mamlaka wapige marufuku haya malori ambayo yanaingia mitaani na kuharibu barabara vibaya sana kama inavyoonyeasha katika hizi picha
Barabara hizi sasa zimetengenezwa kwa gharama kubwa hivyo inabidi zilindwe
Naomba wahusika watusikie kwani najua wanapita humu
Naomba kuwasilisha