Ford Range
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 344
- 525
Nimekuwa nikitembelea mitandao mbalimbali ya kijamii lakini kuna jambo linanishangaza kwa watu waliozaliwa mwezi June na wale wa May mwishoni wanaojiita Gemini, why wanajitangaza sana kila mahali, mara T-shirt, legend are bone on June, Queens are born on June, mbona promo kila mahali, bado kwenye post zao sasa Gemini, Gemini, mbona wako hivyo, hizo mbwembwe mbona hatuzioni kwa watu waliozaliwa miezi mingine? What is behind Gemini people, wataalam wa hizi mambo naomba ufafanuzi kama kuna kitu cha ziada kinachowafanya watu wa jamii hii ya Gemini kuwa na mbwembwe hizi.