Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utotoni tulikuwa na kamchezo ka kuwinda vicheche.Vitendea kazi vilikuwa mbwa,rungu na vibuyu vya maji.Mara kwa mara zoezi hili tulikuwa tukilifanya pale kuku wetu walipokuwa wanashambuliwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanzo mlisema mwisho wa March, baadaye mkasema May, baadaye July. Yaani imekuwa ni mwendo wa kusogeza tarehe mbele! Je, shida ni nini? Bomba bado halijamalizika au nini? Ajabu ni kwamba hata...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Waungwana naamini mko salaam, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea kiufupi me napendelea sana kusikiliza radio zinazotangaza kwa kingereza Nilikuwa napendelea sana BBC INTERNATIONAL ila siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu natumai juma pili ilikua tulivu kwenu. Turudi kwenye maada, kama tujuavyo katiba yetu hii tuliyoachiwa na mkoloni ilivyo na madudu hasa kwa kumpa nguvu kubwa raisi. Pia kumpa kinga ya...
0 Reactions
10 Replies
945 Views
Habar za muda huu wanajamvi, Nmekuwa napitia mjadala wa je tutafika? Ya channel tajwa hapo juu ila hicho kipindi sizielewi mada zake. Kwanza napenda anayeelewa mada za huyo mzee anayeongoza...
1 Reactions
6 Replies
887 Views
Kusameheana tulipokwazana ni jambo la kheri.duniani tunapita wapo wengi waliotangulia mbele za haki kabla yetu.Nawaombeni enyi waandishi wahabari.mjadilini jinsi ya kumsamehe na kuonyesha ukomavu...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habali ndugu na jamaa? Usiku huu npo kakola kahama kuna tangazo lina tangazwa usiku huu likisema. "tangazo tangazo kesho hakuna kufungua biasha yoyote watu ote msikilize report ya makinikia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi. Taarifa...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Nashauri chombo hiki cha kitaifa kigute makosa yake kwa kutuletea special coverage ya kupokelewa kwa ripoti ya kamati ya wachumi na wanasheria ambayo iitatuonesha ni kwa kiasi gani nchi imeibiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi, Habarini za wikendi!. Japo mimi ni Msukuma wa Mwanza, mara nyingi nipatapo nafasi ya wikendi ndefu, hupenda kutembelea sehemu fulani inaitwa KV iliyoko mkoani Kilimanjaro, kwa sababu...
25 Reactions
93 Replies
24K Views
Habari wakuu, Nimatumaini yangu mu wazima, Husika na kichwa cha habari hapo juu cha jieleza, Mala nyingi wasomi wengi hasa hasa wale waliokuwa wakifanya vizuri darasani kuliko wengine, wengi wao...
7 Reactions
55 Replies
9K Views
#Huu ni mchanganyiko au mkorogo? Naomba kuwasilisha. Vipi mchanga wa dhahabu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna watu wanahisi hawatazeeka,kutwa kubadilisha mabwana leo yupo na huyu kesho yule.tambueni,ukimwi upo,kifo kipo,na uzee huu hapa.kubadilisha mabwana na wanawake jua utanasa tu,hata uvae vipi kondom
0 Reactions
7 Replies
939 Views
C&P Hi guys Africa is good and Tanzania is beautiful with all sorts of wildlife and natural wonders you may think of. Some not even advertised. I can’t say I know Tanzania that much as I have...
29 Reactions
95 Replies
8K Views
Samahani Sana wanajamii wenzangu ,hivi karibuni tumeona namna ambavyo raisi ameteua kamati mbili katika uchunguzi was mchanga was dhahabu maarufu kama makinikia na tayari kamati ya kwanza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga, amewapiga marufuku askari mgambo wilayani hapa wanaokamata pikipiki zinazobeba abiria, maarufu kama bodaboda na kuonya kuwa hiyo si kazi yao. Mwanga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Utata umeibuka baada ya askari wa Jeshi la Polisi wa Mirerani wilayani Simanjiro (Manyara) kudaiwa kuwafyatulia mabomu ya machozi na kuwajeruhi wachimbaji wadogo saba wakiwa ndani ya mgodi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nilipata muda wa kupumzisha mwili mahali fulani...lakini bahati mbaya mara zote sijawahi kufanikiwa kupumzisha akili....wakati nikiwa naangaza huku na huku kabla ya kupitiwa...
1 Reactions
2 Replies
682 Views
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki dunia Jana saa mbili usiku nyumbani kwake Buzebazeba Ujiji Kigoma. Kaimu Shehe wa Mkoa Alhaj Shehe Hassan Kiburwa amedhibitisha kutoka kwa kifo hicho...
9 Reactions
108 Replies
11K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mama mzazi amekiri kumchoma moto mikononi wake mwenye umri wa miaka tisa mkazi wa Kijiji cha Miramba wilayani Kilwa aakimtuhumu kumwibia Sh7,000. Mzazi huyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom