Madudu ya Dubwana hili LA IPTL azalishe umeme au asizalishe Tanesco lazima ilipe

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,337
2,000
Wandugu sasa hapa muda muafaka wa kuamua hawa hakuna kuwapa leseni ili mkataba wao na Tanesco uishe automatically, na wale wanaojaribu kulikumbatia IPTL ni sawa na magaidi,kilichomo katika Mkataba na Tanesco ni madudu ,mfano mdogo wazalishe au wasizalishe umeme,Tanesco lazima iwalipe, yaani mnakubaliana na muuza maziwa akuletee kila siku maziwa, sasa muuza maziwa anakuambia asipokuletea hayo maziwa lazima umlipe huu ndio wizi waliofanya IPTL kwa muda mrefu.Nashauri tuzibe masikio tuzalishe umeme wa Nuclear tu wa uhakika, Uranium tunayo vinu tutanunua Urusi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom