Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema Mfumuko wa Bei kwa mwezi Mei, 2017 umepungua hadi 6.1% ikilinganishwa na 6.4% ilivyokuwa Aprili, 2017.
http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/cpi/CPI_Mei_2017_Kisw.pdf...
Ni hivi punde tu nimetoka kumtembelea Msanii fulani ( wa Kiume ) ambaye mara nyingi mno huwa hakauki ama Mitandaoni au Luningani au katika Midomo yetu bila kusahau katika Magazeti mengi ya Udaku...
Ndugu wanaJF, Mimi ni mtanzania mzalendo na wa kipato cha chini ambaye Benki yangu ya NMB Tanzania imenifanya sasa ni wewe omba omba baada ya kuibiwa pesa zangu zote ambazo nimezilimbikiza kwa...
Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo...
Upo ushahidi wa macho na masikio wa maduka mengi ya dawa ya rejareja kutotaka kabisa kufanya kazi na NHIF , hii ni hata yale maduka yaliyo karibu kabisa na Hospitali kubwa , kama Muhimbili , Amana...
Mimi ni mtumiaji wa hivi viberiti pasi kuangaria kampuni gani ina Tengeneza. Kwenye cover la nje kumeandikwa average sticks contents 40. Lakini kila nikinunua haifiki iyo idadi huishia 30 kwa 32...
Hizi kauli za mara ooh " walitaka kunuhonga" mara " wananiomba niwateue" mimi kibinafsi zinanikera sana kwa sababu kwanza zimekaa kinafiki na pili zimekaa kimipasho kama sio taarabu.
Kwa mfano...
LAPF wanaweza kuharakisha vifo vyetu
Uwiii, sasa wanachama wanaweza kuliwa hivihivi na hawa jamaa wa LAPF.
Yaani nimekutana na hili gazeti na kulisoma kwa umakini mkubwa, nimegundua kuwa LAPF...
Ki ufupi ni kwamba viashiria nnavoviangalia vinaniambia kwamba uchumi wetu wa fedha unapoteza thamani.
Tangu mwaka uanze riba za kuwekeza cash zimeshuka kwa kiasi kikubwa. Average return ya...
1.Kuingia kwenye chumba halafu ghafla unasahau uliingia kufanya nini, ukiamua kutoka tu, unakumbuka!
2.Kuangalia saa na baada ya kuondoa macho tu kwenye saa, unasahau ilikuwa saa ngapi! Na...
Wanabodi,
Naomba kwa wajuzi wa mambo ya majengo ya mabunge duniani wanisaidie haya majibu:
1. Ni "Genius" gani alibuni jengo letu la bunge Dodoma na alikuwa anawaza nini kwenye kichwa chake?
2...
Moja ya mtandao ulioanza na network ya 4G,lakini kwenye suala la vifurushi umekuwa mtandao usijari wateja wake,mlikuwa na University offers nzuri sana hapo mwanzo lakini kwa sasa mmebana vifurushi...
Nimesoma hotuba ya bajeti 2017/2018 nikagundua yafuatayo:-
1. Makusanyo ya fedha za kodi hayakufikia malengo .
2. Biashara elfu 7 hivi zimefungwa,na laki 2 hivi zimefunguliwa.
3. Bajeti ya...
MH WAZIRI HUSIKA .PENGINE TU HUJUI KINACHENDELEA KWENYE BIASHARA YA HIZI KAMPUN MTAANI
NIONACHO AIJALISHI MMEINGIA NAO MKATABA WANACHOFANYA N KUHALALISHA RUSHWA RUSHWA BARABARANI...
NA WENGINE...
Kuna hii taarifa inazunguka mitandani. Hawa watu nasikia wapo tangu mwaka jana, na eti kwa wanaume ukitaka urefu wa inch 6 ina double hadi 12, kwa wanawake makalio yanatepeta. na pia eti hawana...
Ubungo Msewe ilivamiwa muda si mrefu na majambazi milio ya risasi yasikika
Hili tukio linatokea muda huu.
Hawajadhuru watu ila wamepora kwenye maduka mengi na Vibanda vya kutolea pesa/kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.