Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,786
Siku za hivi karibuni, ukikutana na brother man anatembea kwa mguu au kapanda daladala, alikuwa anajiwahi kwa kisingizio kuwa gari lake limekamatwa na TRA .
Sasa baada ya Mwigulu kuwaambia wanye magari yao waende kuyachukua, hawa mabrother man sijui watakuja na kisingizio gani...
Ama kweli njia ya muongo ni fupi. Kama umefulia tu, kuwa muwazi jamii ijue namna ya kukusaidia.