Katika hali isiyokuwa ya kawaida mama mzazi amekiri kumchoma moto mikononi wake mwenye umri wa miaka tisa mkazi wa Kijiji cha Miramba wilayani Kilwa aakimtuhumu kumwibia Sh7,000.
Mzazi huyo...
Kama ilivyokuwa katika zoezi la kumkabidhi Rais John Pombe Magufuli report ya kwanza ya makontana pale ikulu, kulikuwepo wasanii kama wakina Frora mbasha, Shilole, Kalala junior etc.
Huu mkakati...
Habari wakuu,
Muda huu kuna bomoa bomoa inaendelea Kariakoo katika jitihada za upanuzi/maboresho ya reli. Sio siri ni simanzi kubwa kwa waathirika.
#MsinipangieChaKubomoa
Wakazi zaidi ya 200 wa Kimara wamelalamika kutotendewa haki baada ya kuambiwa wabomoe nyumba zao ndani ya siku 30 kwa gharama zao, tarehe 8/6 ndio nyumba hizo zinatakiwa zianze kubomolewa
Wananchi...
Mbeya. Siku mbili baada ya kuapishwa, Diwani wa Iganjo katika Jiji la Mbeya (Chadema), David Mwangonela anatarajia kulipwa kitita cha zaidi ya Sh6 milioni zikiwa ni posho za kila mwezi za udiwani...
Taasisi ya Alhikma Foundation chini ya usimamizi wa sheykh Nurdin Kishki inawaletea mashindano makubwa zaidi ya kuhifadhi Qur-an Afrika, mgeni rasmi akiwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim...
KWA maisha yetu ya kila siku, hakuna cha kushangaza unaposikia fulani anajihusisha na mambo ya kishirikina. Ni stori za kawaida. Utasikia juzi Dula alimwendelea demu wake wa Manzese kwa sangoma...
Watu watatu wa familia moja wakazi wa Kijiji cha Nyantira wilayani hapa mkoani Mara wanadaiwa kufariki katika mazingira ya kutatanisha huku wanannchi wakihusisha vifo hivyo na ulaji wa asali...
Nakumbuka alishinda kesi ila baada kushinda serikali ikasema haikuridhika na hukumu na hivyo wataka rufaa.. Sasa nauliza je serikali ilikata rufaa?? Na kama ilikata rufaa kesi imefikia wapi hadi...
Kijana Mmoja wa kiume Amekamatwa Baada ya Kujivisha Mavazi ya kike Ili Aweze kufanya mtihani kwa niaba ya mpezi wake..
Baada ya kuhojiwa kijana huyo Alisema kuwa Ameamua kufanya hivyo kwakua...
MWANAMUME mmoja ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye hasira katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, kwa tuhuma ya kuiba kuku mmoja.
Kwa mujibu wa polisi wilayani Bunda, tukio hilo...
BAD NEWS!
Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake...
Samahani wadau nina shida ya haraka sana ya passport ninataka kusafiri nje ya nchi mwanzon mwa mwez wa 2 tar 5 hivi na nipo huku mkoani Manyara sijaju nianzie wapi nipate passport kwa haraka...
EWURA yatema madini hebu .
Soma hapo kwenye ambatanisho.
Je, hawakujua kuwa ni makosa Kupokea maombi ya IPTL hadi watumbuliwe!?
Je, ni kweli kuwa ofisi na mamlaka nyingi hapo Tanzania...
Zikiwa zimepita siku 91 tangu Rais John Magufuli apige marufuku usafirishaji wa mchanga wa madini Nje ya nchi bado hatima ya suala hilo haijafahamika.
Hata hivyo uamuzi huo haujaathiri mgodi wa...
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi mikoa kuhakikisha wanatumia vizuri mafuta ya magari wanayowekewa ili kuepuka malalamiko ya wananchi kwa magari ya...
Ni bora tu hata kusingekuwa na Nyumba za Ibada kwani binafsi sioni umuhimu wake. Hivi kama kila Siku au kila Ijumaa au Jumamosi au Jumapili Watu ( Waumini ) wanafurika kwenda Kuabudu lakini hao...
Tukio hili la ujambazi huko Iringa kwa mujibu wa ITV Tanzania (:: Majambazi Wavamia Mgodi Wa Dhahabu Iringa Wajeruhi Na Kupora Fedha Na Dhahabu) linasaidia kutoa maana halisi ya wizi wa dhahabu na...
Kila mtu anaweza kujiuliza haya Maswali ili ujijue zaidi na weka majibu yako utakuwa Inspired wewe mwenyewe kutokana na Majibu yako.
Twende Kazi.....
1.Kama Leo ukipoteza kila kitu ulichonacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.