Je kwa haya nina nguvu za JICHO LA TATU ?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
519
1,000
Ndugu katika JF,
Mimi si mtaalamu wa MAMBO ya AURA,meditation,supernatural power n.k
lakini nimesoma thread za hayo mambo.

kuna wakati najiuliza je hizo nguvu za asili na maajabu, ninazo ?

pia nahisi kama nina UWEZO zaidi katika ulimwengu wa ROHO au JICHO LA TATU bila kujitambua.
kwa naomba nitaje vitu vichache ambavyo hunifanya nihisi kama nina uwezo huo:

1.kuna wakati mtu kabla hajanipigia SIMU,au kunitumia SMS ninaweza kuhisi ni fulani hata kama nilikua sina mpango wa kuwasiliana nae.
some time kabla SMS sijaifungua nakuwa nimeufahamu UJUMBE mapema.

2.Mtu anaweza kuniuliza jambo fulani,kabla sijampa jibu langu namueleza jinsi yeye alivokua anafikiri kwanza,kwa hiyo natambua anachofikiri kabla hanieleza.

3.kuna siku nilihisi mpenzi wangu atanidanganya baada ya dakika kadhaa na atajaribu kuniaminisha uongo,
basi nikaenda nje bila sababu kama kumpa nafasi ya kutunga uongo, na nilipo rudi alifanya kama nilivofikiri kabla.

mambo ni mengi ya kueleza ila mifano hiyo inatosha nisiwachoshe...

kama kuna mtu anatambua hayo mambo aje atoe neno

NB: UMRI 20 yrs
 
dripu

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
1,288
2,000

Utakuwa bado unakuwa ......mengine hayo utamalizia wewe si unatabili bwna
 
wilbald

JF-Expert Member
Dec 17, 2007
1,803
2,000
Ndugu katika JF,
Mimi si mtaalamu wa MAMBO ya AURA,meditation,supernatural power n.k
lakini nimesoma thread za hayo mambo.

kuna wakati najiuliza je hizo nguvu za asili na maajabu, ninazo ?

pia nahisi kama nina UWEZO zaidi katika ulimwengu wa ROHO au JICHO LA TATU bila kujitambua.
kwa naomba nitaje vitu vichache ambavyo hunifanya nihisi kama nina uwezo huo:

1.kuna wakati mtu kabla hajanipigia SIMU,au kunitumia SMS ninaweza kuhisi ni fulani hata kama nilikua sina mpango wa kuwasiliana nae.
some time kabla SMS sijaifungua nakuwa nimeufahamu UJUMBE mapema.

2.Mtu anaweza kuniuliza jambo fulani,kabla sijampa jibu langu namueleza jinsi yeye alivokua anafikiri kwanza,kwa hiyo natambua anachofikiri kabla hanieleza.

3.kuna siku nilihisi mpenzi wangu atanidanganya baada ya dakika kadhaa na atajaribu kuniaminisha uongo,
basi nikaenda nje bila sababu kama kumpa nafasi ya kutunga uongo, na nilipo rudi alifanya kama nilivofikiri kabla.

mambo ni mengi ya kueleza ila mifano hiyo inatosha nisiwachoshe...

kama kuna mtu anatambua hayo mambo aje atoe neno

NB: UMRI 20 yrs
Hiyo itakuwa mizimu ya kwenu inawasiliana na wewe..jichunguze sana kny familia yenu inawzekana kulikuweko na mtu wa kupiga ramli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom