nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,300
- 1,252
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini. Halafu anakazia na castle light au redbul
RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI
1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna huo upuuuzi "