Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Hon: Hussein Mohamed Bashe
Amezaliwa tarehe 26/08/1975
Muhitimu wa Bachelor of Business Adminstration in marketing pale mzumbe mwaka 2002.

Bashe kabla ya kuwa member of parliament amewahi kua :

- Chief Executive officer (New habari 2006LTD)
- Market and Circulation Manager (Mwananchi Communication LTD)
- Brand Manager (Mwananchi Communication LTD)
- Area sales Meneger DSM (Celtel Tanzania) kwa sasa ikijulikana kama Airtel
- (Bank officer Nation Microfinance Bank NMB)

Bashe kwenye mzunguruko wa siasa amekitumikia chama cha mapinduzi mwaka 2005/2012

Kama

- Member - UVCCM Centre Council.
- Member - General meeting.
- Secretary Economic and Finance Nzega. Magharibi.
- Member Political Committe
2015/2020 Member of Parliament

Naweza kunena kua Jicho halishibi kuona wala sikio halikinai kusikia
Tanuru hupima kazi ya mafinyanzi ndivyo pia matunda huonyesha mti ulivyo tunzwa vilivyo.
Maneno ya mtu humjulisha mtu alivyo.

Hussein Bashe ni moja kati ya vijana wenye IQ kubwa na usmart wa kuongea kwa nidhamu ni hazina ya chama cha mapinduzi.

Chama cha mapinduzi kina imani ya kwamba

- BINADAMU WOTE NI SAWA .
- KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA YA KUTAMBULIKA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE.
- UJAMAA WA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU .

Hussein Mohamed Bashe
Huyu ndio mtu wangu bora wa mwezi wa tano. Real Eyes. Raalize. Real Lies

Najifunza vitu vingi sana abavyo ongea bungeni anajua anacho zungumza kwa weledi na utundu .

They say never judge a book by its cover but they also said a picture is worth thousand Word.

Wachache watamchukia bashe sababu tu anaongea ukweli.
Na wengi tutampenda bashe sababu anaongea ukweli.
741fccf46fc5c4e31aa995ec528a1761.jpg
128e6d59e313379b3338ddaa1ac9ca3f.jpg
 
Hapa Bashe pale Deo (MUNGU ampumzishe kwa amani) hao tu wangetosha kwa upande wa ccm, hata kama wengine wasingeenda bungeni
 
Miongoni mwa watu ninaowakubali katika siasa ni huyo jamaa

Tatizo ni kwamba
  • Mawazo yake hayapokelewi na kufanyiwa kazi na watendaji
  • Anachukuliwa kama threat badala ya brain
  • Akipewa post ...anapigwa Tanganyika jeki na utendaji unaanzia hapo kunafifia
 
Kwa uhakika ni msemakweli na mjuzi wa anachokiongea. CCM huyu ni jembe msimfanyie figisu kwa ubora wake
 
Back
Top Bottom