watu watatu wa familia moja wafariki mmoja baada ya mwingine kwa siku3

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime.
Alianza kufariki mume siku ya jumanne akazikwa jumatano, baada ya mazishi mtoto akafariki jumatano akazikwa alhamisi na alhamisi usiku mke akafa. hadi sasa haijajulikana chanzo cha vifo hivi. MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,490
2,000
kwa wanandoa ni kitu cha kawaida sana kutokea

hata kwa mtoto..inategemeana na mshtuko walioupata kwa msiba..na huenda wana maradhi ya shinikizo la damu
 
Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
2,254
2,000
Inawezekana walikula chakula chenye sumu inayoua taratibu kulingana na uwezo wa mwili. R.I.P
 
BADO MMOJA

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
2,151
2,000
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime.
Alianza kufariki mume siku ya jumanne akazikwa jumatano, baada ya mazishi mtoto akafariki jumatano akazikwa alhamisi na alhamisi usiku mke akafa. hadi sasa haijajulikana chanzo cha vifo hivi. MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
KAMA HAWAJADHULUMU MTU WAPUMZIKE KWA AMANI LAKINI KAMA NI DHULMA WAFE TENA HUKO WALKO
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,744
2,000
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime.
Alianza kufariki mume siku ya jumanne akazikwa jumatano, baada ya mazishi mtoto akafariki jumatano akazikwa alhamisi na alhamisi usiku mke akafa. hadi sasa haijajulikana chanzo cha vifo hivi. MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
Aisee ingekuwa pwani tungeelewa tatizo sasa huko sijui itakuwa sumu au ugonjwa wa kuambukiza, RIP marehemu wote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom