Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna haka kadada kanajiita Gigy Money,..kutwa kucha kazi yake ni kujianika uchi, kutengeneza video za uchi na kuziweka youtube pamoja na kutoa masomo ya umuhimu wa umalaya. Kama mzaha, lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimewasikia wafanyabiashara kupitia Redio Free Africa Leo asubuhi wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Msaada nawezaje kupata kitambulisho cha utaifa kipindi hiki ambapo uandikishaji umeisha au nakala inayoweza kunitambulisha?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.Je Magufuri hakuwa anasikia malalamiko ya wapinzan bungeni kwa miaka 20 juu ya mchanga kusafirishwa nje ya nchi yeye kama wazir mshauri mkuu wa serikali alichukua hatua gani wakati huo ili...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salam sana wandugu, matumaini yangu mko poa. Hiki ni kipande cha maandishi kutoka kwenye kitabu cha Why Men Cant Listen, And Why Women Cant Read Maps kilichoandikwa na mwandishi Allan Pease...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Sijaona maana yeyote kuipeleka misri wakati mechi imechezwa Chamazi.kama ni kuzoea hali ya hewa na uwanja tungekaa chamazi muda wote matokeo yake timu nimeiona inarukaruka uwanjani.bila goli la...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Lipo LUPEMBE ktk mkoa Wa NJOMBE Aina ya Miti iliyopandwa ni micrutus( milingoti) Shamba lina ukubwa Wa ekar 1 na nusu Na hizi sasa unaweza kukuta milunda Bei ni million 3 Linauzwa pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia machimbo ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Nyakavangara tarafa ya Isimani ktk halmashauri ya wilaya ya Iringa mkoani Iringa na kuwapora wachimbaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa jamvi, siku chache zimepita tangu nisikie habari kuwa EWURA wametoa muda wa siku 21 juu ya iwapo kampuni ya IPTL iruhusiwe ku - renew leseni yake ya biashara ua laa! Miaka kadha...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
habarini za asubuhi ndugu, Mi nataka kujua tuu kama haya mashirika ya hifadhi ya mifuko ya kijamii yanatoa hela za wanachama wake au wameshasitisha tena, naomba mwenye majibu ya uhakika aniambie
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kimsingi huwezi kusema nimefuta kodi Fulani kwa kuihamishia sehemu nyingine, ni lazima uwe ama umeifuta kabisa au umeibadilishia mfumo wa utozaji wake. M/vehicle road licence kwa mujibu wa...
2 Reactions
65 Replies
8K Views
Itifaki izingatiwe,na kwa imani zenu wote ruksa kuchangia. Kuna hii tabia hii ya kudhalilisha wanawake eti tu kwa sababu ya mavazi waliyovaa. Hasa mwezi kama huu wa toba kwa baadhi yetu. Jambo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Bramo, ikinyunyi, e2n, alibakari Nimegundua hawa members wenye avatar ya braza Kim a.k.a Mzee wa Kiduku ndiyo last generation ya great thinkers humu JF... Thinkers...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
8 Replies
880 Views
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naamini hamjambo wote na jumamosi hii ni njema kwenu,kama una tatizo pole sana. Ni kipindi kirefu sijamsoma Deo Nalimi Kisandu, nini kimempata yeye na kile chama chake kipya cha ACA?au mirembe...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Salm wapendwa Polen na kazi ewe mama na Mbunge wa Mleba kusin najua majukumu ni mengi na kupongeza!! Nachukua fursa hii kukumbusha kuwa nimepita kwa wapiga kura wako nkakuta wananungunika...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Katika kitabu cha Hosea 4:6,Mungu anasema maneno haya,"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa."Maneno haya ya Hosea ni kweli sasa kuliko wakati wowote mwingine.Watu wanaangamizwa na sumu...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom