Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau wa JF hasa ndugu zangu wa Arusha. Nina ugeni siku chache zijazo wa wiki nzima na kutokana na eneo la kazi na kufanikisha mipango yao ningeomba kuzitambua nyumba nzuri za wageni kwa...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Kama inavyosomeka hapo juu, leo nimeona niweke wazi kwa faida ya wengine na wala si vinginevyo. Kuna hizi bus za Princess Muro na Lucky Star za kwenda nyanda za juu kusini, gari ni mbovu na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nyimbo zao nyingi huwezi kosa neno banana au (sweet banana). Naanza na huu hapa chini.. Tafadhali wajuzi mtupe siri ya wana-igeria kupenda ndizi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nampongeza sana mh JPM kwa kuvalia njuga suala la Acacia makinikia na hatimaye ungaliwaji na kurekebisha mikataba yote ya madini. Ni wakati sasa Mh Waziri wa Viwanda na wengine wenye dhamana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Fundi mbao, Japhet Lendiman (38) mkazi wa Daraja Mbili, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, baada ya kubaka watoto wake wa kike wa darasa la sita na kidato cha kwanza. Akizungumzia tukio hilo...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
sh. 10,000/- kwa nyumba zisizothaminiwa hii ni sawa. Lakini Sh.50,000/- kwa ghorofa moja hii siikubali hata kidogo. Sababu: Nyumba moja pale kitongojini sh. 10,000/- Ghorofa ninayoishi ina orofa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania nchi ya ajabu saana wamesema wanafuta kodi ya motor veicle wataripia watakapo.nunua mafuta kwa kupandishiwa sh 44 inamaana mimi nisie na gari ila nna chain saw nalipia motor veicle kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kanuni ya dunia ipo hivi: Kama hugusi Maisha ya watu ni ngumu sana kufurahia kuishi duniani. Ni ngumu sana kupata mafanikio ya kweli. Maisha ni Raha kama una furaha, lakini ni Raha zaidi kama...
3 Reactions
1 Replies
952 Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi imepiga marufuku bomoabomoa iliyopangwa kuanza katika jimbo la Kibamba, ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro. Amri ya usitishwaji wa bomoabomoa hiyo...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Kutokana na hali ya uchumi wa sasa kutokuwa rafiki sana na sisi Makabwela, kinywaji gani unatumia kwasasa? hasa ukizingatia hata viroba navyo havipo tena. Je ni kinywaji gani unatumia ili...
5 Reactions
117 Replies
12K Views
Barrick yawakodia wabunge ndege kwenda Nyamongo Send to a friend Monday, 08 August 2011 21:02 Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imetokea huko Zimbabwe,wote wamekamatwa wapo polisi kijana wa kiume alidai aliamua kumsaidia mpenzi wake maana amerudia mara nne anafeli tu.
6 Reactions
57 Replies
8K Views
Mambo vp everyone,kwa wale watazamaji WA clouds TV watakumbuka vizuri jinsi clouds ilivyotokea kupendwa na jpm mpaka kufikia kupigiwa simu za pongezi Mara kwa Mara ktk vipindi vyao. Si hivyo tu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kweli ngao hii ni ya kiubunifu sana mfano shoka linaonyesha jinsi kila mzanzibar afanye kazi Pia panga ni alama ya ulinzi Wa taifa Hongera sana mtu aliyebuni ngao hii
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti! Nawasilisha..
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Suspected N. Korean drone snapped THAAD photos – S. Korean officials
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui watu washarudi kijijini!! Zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.Sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie,kweli hali ngumu.
4 Reactions
87 Replies
8K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu Polen na habali za makinikia Husika na kichwa cha habali hapo ili twende sawa Kuna baadhi ya watu ambao ni wengi sana dunian huamin Israel ni taifa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimeitoa mahali tu... Binafsi mi sikubaliani na hili kabisa. Kamati ya maadili ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda...
8 Reactions
89 Replies
13K Views
TWEETER. Humphrey Polepole ondoa hizo akili za kizee. ETI CCM MPYA. :"NINA HASIRA NA AKESHIA" Mvinyo ni mvinyo tu hata ukiuweka kwenye chupa mpya, chupa ni kibebeo tu haibadilishi ladha ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom