Nimeitoa mahali tu...
Binafsi mi sikubaliani na hili kabisa.
Kamati ya maadili ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda...
TWEETER.
Humphrey Polepole ondoa hizo akili za kizee.
ETI CCM MPYA. :"NINA HASIRA NA AKESHIA"
Mvinyo ni mvinyo tu hata ukiuweka kwenye chupa mpya, chupa ni kibebeo tu haibadilishi ladha ya...
Imebidi niulize swali hili ili kupata ukweli .
Wananchi wanaoomba kuunganishiwa umeme kwa pale Kyela Mjini inawachukua hadi miezi 12 ! Kulikoni ?
Hakuna mita wala nguzo , Kisa nini ? Kwa mji...
Msiniulize maswali tena.Na wala msinione ni mchokonozi au najikuna au kimbelembele.Tuko msibani.Msiba mzito wa Kitaifa.Ndugu yetu tuliyekuwa tunamtumainia sana "Makainikia" tuliyekuwa hatujui yuko...
Manyoni. Mtu mmoja amekutwa amejinyonga kwa kanga hadi kufa akiwa nyumbani kwake eneo la Mamatatu, kijiji cha Muwanzi nje kidogo ya Hopitali ya Wilaya ya Manyoni.
Diwani wa kata hiyo, Maghembe...
Guys can anyone advise me where I can get that novel, it is a very small novel but had contents which I keep on remembering as we approach to 31st October.
I read the novel some 8 years back...
Halmashauri mkoani Mara zagomea fedha za mrabaha kutoka mgodi wa CATA Mine kwa kukiuka mkataba.
Picha inayoonekana hapo juu kwa hisani ya Mtandao.
Uongozi wa Halmasdhauri mbili...
Haya jamani mjioneee mnaofunga vyakula ktk karatasi nyepesi za aluminium mjiandae na madhara yake. Wataalam wamesema ni hatari.
Angalia video hapa chini
Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani? Maana nasikia kuna wakurugenzi wametimuliwa tangu mwaka jana na bado wanalipwa mshahara me bado sijakubali mpaka nione kigogo mmoja katolewa kafara.kila...
Nawaomba wabunge mpendekeze tozo ya "wharfage charge" itozwayo kwenye mizigo ipitiayo bandari zetu ifutwe ili kuhamasisha wafanyabiashara wa nchi jirani kupitishia mizigo kwenye bandari yetu ya...
Habari zenu Ba ndugu
Poleni Sana kwa majukum ya hapa na pale,
Ndugu zanguni natambua JF ni kisima cha Elim, ujuzi, maarifa, baraka, neema nk
Lango langu hasa ningependa kutembelea nchi ya...
Habari zenu wana jamvi,
Kila siku ninakaa ninafikiri na kutafakari baadhi ya vitu ninavyoviona kipindi hiki chote cha maisha yangu. Na hiki ni kimoja wapo.
Inafika kipindi lazima tuseme ni...
1. Yupo tayari kufanyakazi popote na kwa malipo yoyote
2.Anaweza kufanyakazi ya ziada bila kudai malipo
3.Anaweza kufika kazini wa kwanza na wa mwisho kuondoka
4.Huinamisha kichwa anapoongea...
Najaribu kufikiri kwa sauti kidogo, ila kabla ya yote naomba kudeclare interest kuwa naipenda sana jf na watu wake wote.
Binafsi huwa nasoma tu post za wenzangu ila nataka leo niandike machache...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Nimewaza tu hii sentensi katika sala ya Bwana Yesu,hivi alimaanishanini, kwamba dhambi zetu ni matokeo ya Mungu kututia vishawishini ama vipi.
Kwa mtazamo wangu wa...
Mbunge wa Sengerema kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), William Ngeleja amesema kuwa hawezi kuzungumzia agizo la Rais Magufuli la kuhojiwa na vyombo vya usalama kutokana na kuhusika kwake katika...
Bado najiuliza tu kwa ujinga wangu (kwa sauti ya Magufuli) hawa maprofesa waliopo humu, hawa madokta na ohd za wenyewe plus degree zilizopo na diploma mpaka certificate's zilizopo, hata kwa...
Nimeona ktk dhifa nyingi za serikali wakati wa kuomba dua waislamu huwakilishwa na Bakwata na wakristo wanawakilishwa na Kanisa Katoliki, KKKT na Anglican. Swali langu je, sisi Wasabato ni lini...
Jengo la ghorofa nane limeporomoka usiku wa kuamkia leo jijini Nairobi na wengi hawajulikani walipo.
Juhudi za uokozi kutoka vikosi mbalimbali unaendelea ktk eneo la tukio.
Taarifa kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.