Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sioux. Manusura wa ajali ya basi la Shule ya Msingi, Lucky Vincent, Doreen Mshana, amefanyiwa upasuaji mdogo wa kuondoa vyuma vilivyowekwa wakati alipofanyiwa upasuaji mkubwa wa uti wa mgongo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa nampongeza Mr Presidaaa Kwa kuwa interested na kazi hii ya kupambana na majizi ya Uchumi wetu,kwa hiyo hata wakishitaki huko nje ya nchi,hii kesi tutawashinda asubuhi mapema, mfano unaendesha...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, limesema litanyang’anya leseni za udereva madereva watakaokutwa na makosa ya usalama barabarani zaidi ya kumi na tano waliyofanya kwa nyakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nadhani ingekuwa ni busara sana kuwa na hasira na kujaa povu kwa kiwango hiki hiki cha juu kma kilichooneshwa kwa ACACIA, juu ya ishu ya mauaji yanayoendelea MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji)...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Hii report ndo imebaki kutolewa, maana zngne zote tayr zmetolewa zilizokuwa zikichunguzwa! Sasa hii mbona kizungumkuti? Waziri husika umejitahd sana kuvuta muda ili kumaliza mwaka kwa zoezi hili...
1 Reactions
2 Replies
878 Views
Richard Ndasa jana akichangia bajeti aliwananga wapinzani kwamba hawana nia nzuri na wananchi. Akizungumzia ''kufutwa'' kwa road license Ndasa alisema kwamba ongezeko la Sh.40 kwa lita halitakuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jf! Awali ya yote nimenunua luku jana (kwa airtel money) kwa bahati mbaya nikafuta sms kabla sijaiweka! Nimejaribu kupiga 100 lakini sijafanikiwa kumpata mtoa huduma wa airtel walau...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Baada ya Jana kusomwa ripoti ya pili,uchunguzi wa madini.Viongozi mbalimbali (C.C.M)wameibuka na kutoa kauli za kumpongeza Rais,na kusahau kuwa haohao ndio walitoa pongezi kabla na baada ya hiyo...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
Habari zenu wakuu, kwa wale wazoefu wa kujua mchakato wa kuagiza magari kutoka Japan, ningeomba kusaidiwa gari kama hii BE FORWARD : 2011 TOYOTA Vanguard toyota Vanguard, ya mwaka 2011, cc 2360...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa Hivi sasa Jiji la Arusha lina shule mbili tu zinazopokea wanafunzi wa Kidato cha Tano ambazo ni Arusha Sec n Arusha Girls. Kutokana na ongezeko la wanafunzi wanaofaulu kidato na Nne na namna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Kama kweli mheshimiwa JPM anataka kuifuatilia hii ishu na kutaka kila aliyehusika kwa njia moja au nyingine anawekwa katika mikono ya sheria, haya makinikia, hayatawaacha watu salama...
0 Reactions
4 Replies
684 Views
Wanasema kwamba ni ngumu sana kuwa ndani ya gari alafu gari hilo likaharibika na msaada pekee wa gari hilo ni kusukumwa, haitawezekana gari hilo kusukumwa na abiria walioko ndani ya gari. Hapa...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mstari kwenye screen. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Vijana wanaomaliza Chuo kuanzia mwaka 2017,2018,2019 na 2020 wapate ajira mapema maana wamejione wenyewe uChungu wa nchi na mwelekeo wa nchi unatakiwa Uweje....wengine mjiari Kwani Boom mmekula...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maisha ni safari ndefu na katika maisha huwa kuna changamoto nyingi na tofauti zinazotukuta. Siku ya leo ningependa kufahamu hivi changamoto gani unazokutana nazo pale unapokutana na...
28 Reactions
278 Replies
23K Views
Habari wadau, mimi ni mtanzania ambaye napenda sana kufatilia masuala ya siasa na shughuli za serikali za Tanzania ila nina tatizo moja ambalo cjajua tatizo hili limetokana na nini:- Huwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Security manager wa mgodi wa North Mara gold mine ambao upo chini ya ACACIA amefungua kampuni yake ya walinzi kutoka nje ya nchi wazungu Hawa ni walinzi mgodini hapa hawana kibali cha kufanya kazi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Amani iwe juu yenu... Kutokana na report ya pili ya mchanga, Rais kaagiza m8karaba irudishwe bungeni ikapitiwe upya na kuwekewa sheria mpya.... Hili jambo lilikua likipigiwa kelele na wabunge...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
WALIOTUFIKISHA HAPA WAKO CCM NA CHADEMA |¦| Tumuunge Mkono Magufuli Ili Watoto Wetu Wasije Kutucheka Kama Sisi Tunavyomcheka Mangungo Anayedhani serikali ya CCM chini ya Mh Magufuli haina uhalali...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Katika kujifikilia nimegundua kuna vitu vya ujanja ujanja na kujishtukia kma hawa jamaa hawajasajiliwa miaka yote vyombo husika vilikuwa wapi..? pia walikuwa wanalipa kodi kidogo walikuwa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom