Hivi vyama vya upinzani wa watasimama 2020 kwa hoja gani dhidi ya Magufuli

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..
Wewe ni mtu wa ajabu sana
tapatalk_1497298055319.jpeg

Unashindwa kuwaza raisi anasemaje kampuni inayotuibia na haijasajiliwa hapa nchini eti wake wazungumze!

Kamati inapendekeza mikataba iwekwe wazi huku yeye mwenyewe mikataba ya bombadia ameficha!

Hivi nani aliyeturoga tunashindwa kupambanua mambo nahisi kama haya?

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..

Yako mambo mengi tuu

Huduma za jamii ni mbovu,
Katiba Mpya
Elimu ni duni
Hii ishu ya makinikia ndio itakayo watoa ccm madarakani hayo mengine vikorombwezo

Watasimama kwa HOJA ileile ya MABADIRIKO...

Tunasubiri kunyanyua MAKWAPA..Mabadirikoooo, Lowasa, Mabadirikooooo, Lowasa (huku tunazunguusha Mikono)

Hahaaahaaaa...nikikumbuka Msimu wa KAMPENI, Huwa navunja MBAVU ZANGU.

Tumsubiri "The Boss", tuone atapiga PUSH UP katika IDADI ileile ama atakuwa kachoka kidogo.

Nakushauri
Usibadilishe muktadha na dhima nzima ya moyo na ubongo
Nakukumbusha
Moyo unakaa ndani ya ubavu wa kushoto na ubongo hukaa kichwani
Nakuelekeza
Usitumie moyo kufikiri badala ya ubongo na kinyume chake
Cha Kuzingatia
Usifanye maamuzi ukiwa na mahaba sana wala chuki sana
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..
Mkuu Subiri ifike 2020 ndo utajua.Hata Leo hii unwambie Magu aruhusu mikutano ya Hadhara kama upinzani watakosa hoja za kuongea.Nchi maskini yenye ufisadi kama TZ huwezi kosa cha kuongea

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..
Huo ndio uwezo wa kuwaza kwa kutumia vichwa wengine.

Ww ulishawahi kufanya mabadiriko kwako ukayatimiza kwa wakati mmoja hebu kuwa na akili ww usizungumze kana kwamba unatumia kamasi wakati unajielewa moja moja ndo mpango subiri hayo yote uyatakayo yataisha tu alafu utakosa cha kuzungunza laana shumaka ww

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..

Kama sii hivyo vyama vya upinzani unadhani CCM ingekuwa imetufikisha wapi leo hii???? Na hoja zote hizo zilianzishwa na upinzani. Nampongeza sana Raisi wetu kwa anachokifanya, ila pia tukumbuke kuwa bila upinzani haya yasinge fukuliwa

1. Andrew Chenge
2. Daniel Yona
3. Nazir Karamagi
4. Lazaro Nyalandu
5. Basil Mramba

Ebu ngoja nikalale mie.....

Habari za humu jukwaani. Kutokana na kasi ya Rais Magufuli anayosonga nayo hivi sasa Je wapinzani watakuwa na hoja gani dhidi ya Mh Rais? Najaribu kuwaza kwa sauti!
Nawasilisha..
Tutasimama na hoja ya udikiteta an vyeti feki..Mbona wote watatupa kura?

Nilitegemea uulize hivi wakina mkapa na kikwete watasimama jukwaani kusema kwamba magufuli anafaa kama walivyofanya mwaka 2015.

Hawa wapinzani wamesema sana haya lakini kwasababu mungu ameijalia uongo nchi hii leo watu mnasahau kwamba wapinzani wameshatoka nje na kufukuzwa nje ya bunge nayo umesahau.

Endelea kupambana unaweza kupata ubunge au ukuu wa wilaya manake vijana wengi mmekuwa desperate.

Kasahau hiyo mikataba ilivyopitishwa mbimbio na ndiyoooooo nyingi za CCM. Hatutakiwi kuwabeza wapinzani

Unashindwa kuwaza raisi anasemaje kampuni inayotuibia na haijasajiliwa hapa nchini eti wake wazungumze!
Kamati inapendekeza mikataba iwekwe wazi huku yeye mwenyewe mikataba ya bombadia ameficha!
Hivi nani aliyeturoga tunashindwa kupambanua mambo nahisi kama haya?
Kwa hiyo hizi ndo zitakuwa sera za Upinzani dhidi ya Magufuli mbona atabwaga sana.Inabidi watafute Sera za kueleweka

Back
Top Bottom