Hivi kwanini Wa-nigeria wanapenda sana Ndizi

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Nyimbo zao nyingi huwezi kosa neno banana au (sweet banana).
Naanza na huu hapa chini..

Tafadhali wajuzi mtupe siri ya wana-igeria kupenda ndizi.
 
Labda hilo Zao(tunda) wanalipenda sana...au huenda lina maana kubwa kiutamaduni
 
Back
Top Bottom