Jitihada za clouds kurudisha urafiki na jpm

four eyes

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
905
1,406
Mambo vp everyone,kwa wale watazamaji WA clouds TV watakumbuka vizuri jinsi clouds ilivyotokea kupendwa na jpm mpaka kufikia kupigiwa simu za pongezi Mara kwa Mara ktk vipindi vyao.

Si hivyo tu Bali walikuwa pia wakitajwatajwa na mkuu wao na shughuri zao ktk hotuba zao,vitu kama ndondo cup,Fiesta na mengineyo vilikuwa vikipongezwa na mkuu ktk hotuba zake na mpaka mmoja WA watangazaj WA clouds kuteuliwa mkuu WA wilaya.

Katika Hali ya kustaajabisha Mara tu baada ya clouds kugombana na mkuu WA mkoa WA dar na kuvunja urafiki waliokuwa nao na mkuu huyo WA mkoa Hali imebadirika hata kwa jpm urafiki nao umevunjika.

Hili linaonekana kwa mkuu huyo kuacha kabisa utaratibu WA kuwapigia cm au kuwazungimzia,ktk jitihada zao za kuhakikisha hawapotez mahusiano Yao na jpm clouds wamekuwa wakihangaika kuandaa makala mbalimbali za kumsifu mkuu na serikali yake Mara kwa Mara japo Hali haionyeshi kama watafanikiwa.

Niwakumbushe tu kwamba wanachokifanya sio kibaya ila hakitafanikiwa kwakuwa bado Wana ugomv na mkuu WA mkoa na kwahyo kujaribu kutenganisha uhusiano wao na mkuu WA mkoa na ule WA jpm ndipo wanapofeli.

Ni wazi wakitaka kupatana Tena na jpm wapatane kwanza na bwana daudi LA sivyo watakuwa wanapoteza Muda.
 
kwani DAB ni nani hasa kwa Jpm? ni mtoto wake wa kumzaa kana kwamba clouds kugombana na DAB Ni sawa na kugombana na jpm? acha movie iendelee wakimsamee DAB wakati yeye ndo anapaswa kuomba msamaha basi kamati ya wanahabari tanzania haita wasamehe hao clouds
 
We unaona ule urafiki nao WA kuwapigiapigia cm Mara kwa Mara bado upo?
Kwani alikuwa anapiga simu kila siku?


Hizo mara mbili ndio mnasema mara kwa mara?


Awe na urafiki nao asiwe nao sisi haituhusu hicho sicho tulichomtuma Watanzania.
 
Back
Top Bottom