Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,791
- 50,978
Kutokana na hali ya uchumi wa sasa kutokuwa rafiki sana na sisi Makabwela, kinywaji gani unatumia kwasasa? hasa ukizingatia hata viroba navyo havipo tena.
Je ni kinywaji gani unatumia ili kuendana na hali halisi ya sasa?
ANGALIZO:
Kama wewe sio mnywaji unaweza ukapita kimyakimya ili usituchafulie hali ya hewa kwenye uzi wetu.
Je ni kinywaji gani unatumia ili kuendana na hali halisi ya sasa?
ANGALIZO:
Kama wewe sio mnywaji unaweza ukapita kimyakimya ili usituchafulie hali ya hewa kwenye uzi wetu.