Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,580
- 48,731
Sijui watu washarudi kijijini!! Zamani vijana walikuwa wanapita mitaani tunapata huduma za kuoshwa miguu hadi nyumbani.Sasa hivi hata masaluni wameadimika hadi usubirie,kweli hali ngumu.
inabidi nijioshee tu mguu wangu mwenyewe .yani zamani walikuwa wanatufata hadi home wewe tu hata ukiamua kumpeleka roomUsawa unakaba labda miss
Aisee...lakini sio wote wamepotea ee..wengine wapo ni wewe kuwatafuta tuinabidi nijioshee tu mguu wangu mwenyewe .yani zamani walikuwa wanatufata hadi home wewe tu hata ukiamua kumpeleka room
kumbeeTupo kwenye swaumu.
acha utani mkuuKwa nini usioshe mwenyewe mpaka uoshwe? acheni uvivu, itafika sehemu hata kuzaa mtatafuta watu wa kubeba mimba badala yenu.
Mkuu wanawake wamekuwa wavivu sana.acha utani mkuu
unajua massage ya mwili sehemu yoyote ni dawa ! sio mpaka uandikiwe na daktariKwa nini usioshe mwenyewe mpaka uoshwe? acheni uvivu, itafika sehemu hata kuzaa mtatafuta watu wa kubeba mimba badala yenu.
vibamia vinahusikaje mkuuTatizo ivo vijamaa vyenu vinauwivu c vinajua hatuna vibamia
Room kufanya nn???inabidi nijioshee tu mguu wangu mwenyewe .yani zamani walikuwa wanatufata hadi home wewe tu hata ukiamua kumpeleka room
Bush watu wanafanyiwa na nani massage?unajua massage ya mwili sehemu yoyote ni dawa ! sio mpaka uandikiwe na daktari
uosha miguu wengine mabafu yapo chumbani si unajua mambo ya selfRoom kufanya nn???
wanatembea sana .mjini tunakaa tu na magari kila mahali miguu inasumbuaBush watu wanafanyiwa na nani massage?
Room kufanya nn???
Room, wanapewa nyama ya ulimi
Hayawanatembea sana .mjini tunakaa tu na magari kila mahali miguu inasumbua