steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Tanzania nchi ya ajabu saana
wamesema wanafuta kodi ya motor veicle wataripia watakapo.nunua mafuta kwa kupandishiwa sh 44 inamaana mimi nisie na gari ila nna chain saw nalipia motor veicle kwa gari gani..? huu ni ujeur na kutuzarau atakama ushindi wenu ulitokana na rozari ila si kwa kutuzarau huku inamaana hata babu mwenye jeneleta nae analipia motor veicle kma kujitegemea ndy huku mmeishiwa plan