Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
sh. 10,000/- kwa nyumba zisizothaminiwa hii ni sawa. Lakini Sh.50,000/- kwa ghorofa moja hii siikubali hata kidogo. Sababu: Nyumba moja pale kitongojini sh. 10,000/- Ghorofa ninayoishi ina orofa 10. zenye jumla ya kaya 66. yaani nyumba 66. uwiano u wapo?. USHAURI WANGU. kila nyumba ndani ya ghorofa ilipe sawa na nyumba za madongoni huku vitongojini. Ikumbukwe kodi za wenye nyumba hizi wanazozitoza ni ktkt Dola ya kimarekani. Mh. Mpango fungua macho zaidi ktk hili.