Kwanini watu wanaoamini israel ni taifa teule huonekana brain washed

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,978
2,000
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu

Polen na habali za makinikia

Husika na kichwa cha habali hapo ili twende sawa

Kuna baadhi ya watu ambao ni wengi sana dunian huamin Israel ni taifa teule la mungu, ambalo limeteuliwa na mungu na mungu analipenda sana taifa hilo maana hata mwanae mpendwa ni myahudi na atalud tena uyahudin hapo badae,
na watu wake yaan wayahud wamebalikiwa sana na mungu na mungu kawapa maarifa makubwa sana ya kisayansi na kwamba et wayahud ndo wanaongoza dunia

Maswali yangu sasa ni yafuatayo

A. Je ni kweli Israel ni taifa teule?
B. Je ni kweli wayahud wana akili kushinda binadamu wengine wowote wale?
C. Je ni kweli mungu anawapenda zaid wayahud?
D je ni kweli ukiwapenda wayahud nawe mungu atakubaliki?

Swali la mwisho na ndo limebeba maada hii KWANINI WATU WANAOAMIN ISRAEL NI TAIFA TEULE HUONEKANA BRAIN WASHED YAAN WAPUUZ?
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,671
2,000
Watu wengi wanaosema hivyo ni wakristo

na wengi hawajui dini ya kiyahudu haimtambui Yesu...

Yaani wayahudi hawaamini Yesu alikuwa mtoto wa Mungu
wala hayupo katika orodha ya manabii wao

Wayahudi na Isreal ya biblia ni tofauti mno na taifa la kiyahudi lilioundwa
baada ya vita ya pili ya dunia...

Wengi wanafikiri ni kitu kile kile
 

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,978
2,000
Watu wengi wanaosema hivyo ni wakristo

na wengi hawajui dini ya kiyahudu haimtambui Yesu...

Yaani wayahudi hawaamini Yesu alikuwa mtoto wa Mungu
wala hayupo katika orodha ya manabii wao

Wayahudi na Isreal ya biblia ni tofauti mno na taifa la kiyahudi lilioundwa
baada ya vita ya pili ya dunia...

Wengi wanafikiri ni kitu kile kile
Kwahiyo wayahud siyo taifa teule?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom