Billcash
Member
- Nov 4, 2016
- 86
- 44
Kama inavyosomeka hapo juu, leo nimeona niweke wazi kwa faida ya wengine na wala si vinginevyo. Kuna hizi bus za Princess Muro na Lucky Star za kwenda nyanda za juu kusini, gari ni mbovu na zinaharibika kila uchao na kuharibu ratiba za wasafiri wake. Kwanza nauli zao zipo juu kutuaminisha kwamba zipo luxury, lakini ukweli ni vimeo. Ukipanga kwenda mikoani na ukapanda gari hizi jiandae kuuza sura njiani!