Namshangaa Humphrey Polepole na 'comments' zake

THEBLACKPEARL

Member
Jun 11, 2015
69
46
TWEETER.

Humphrey Polepole ondoa hizo akili za kizee.

ETI CCM MPYA. :"NINA HASIRA NA AKESHIA"

Mvinyo ni mvinyo tu hata ukiuweka kwenye chupa mpya, chupa ni kibebeo tu haibadilishi ladha ya mvinyo.

KAA CHINI UFIKIRI UWEZE KUJA NA HOJA INAYOLINGANA NA UJANA WAKO.
 
Yaani polepole kulinda kibarua chake tu imekuwa nongwa! Mlitaka anyamaze atumbuke ili mkenue.
 
MKUU HATA CCM NAHISI WAPO WALIOPOTEZA MARINDA....WEWE MTU ANAITWA POLEPOLE
 
haki ya Mungu kwa kweli tnahitaji maombi sana kwa aina ya maisha na viongozi tulonao Nchini kwetu,Yan haka ka jamaa hakaeleweki wala hakatabiriki wapi kapo Humphrey Polepole
 
Mheshimiwa Humphrey Polepole yuko sahihi saana.
Ila aside MBAGUZI maana dhambi ya ubaguzi ni mbaya saana.
Laana anazozitoa kwa aliyowaitwa Akeshia isiishie kwao amtaje kila moja aliyeshiriki UHUJUMU HUU.
Wakiwemo watu binafsi.viongozi.taasisi
Vilevile asiache kupongeza wale wote waliokuwa WAKIPIGA KELELE(maana walionekana wapuuzi) lkn wamesaidia hata kwa mh Polepole kudhani TANZANIA MPYA imejileta kumbe imepiganiwa na waleeeee.
Si wengine MABADILIKOOOOO"
 
The original Polepole sold his soul to greedy, the present is but a counterfeit
 
Back
Top Bottom