Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dah! Ni miaka mingi ili swali huwa nikiuliza huwa nakosa majibu sahihi kwamba maji ya baharini huwa yanaenda wapi maana kuna muda huwa yanaondoka na kuna muda huwa yanarejea Je...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Tuko ndani ya kituo, traffic wako na kila gari inakamatawa inavyoingia kushusha abiria. Cha ajabu hata dereva wa basi nilie kuwa nae anaulizwa leseni anajibu sina bana mcheki boss wako pale...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimesikia mengi kuhusu ripoti ya mchanga wa madini. Kwa ufupi watu wachache wenye uwezo wa kusikika ktk vyombo vya habari wanaonyesha kutofurahishwa na ripoti hizo. Waliobaki ambao ni wengi mno...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukianzia Msata hadi Bagamoyo kupitia Kiwangwa na Fukayose kuna mashamba-pori mengi tu. Ukianzia Mlandizi hadi Chalinze hapo kuna shamba-pori za kufa mtu. Ulielekea Mtwara kutokea Mbagala huko...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
UTHUBUTU wa kusema tunaibiwa, tumekuwa nao miaka nenda rudi. Jakaya Mrisho Kikwete, alieleza hilo miaka 10 iliyopita. Ameendelea kulisema hadi anaondoka madarakani. Lakini hakuna hatua...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kama kweli ACACIA mlikua na nia nzuri na nchii hii na Watanzania, je! mlikua wapi kubadili jina lenu ambalo tangu enzi na enzi tunaliona kwenye magezeti, tv, mitandao, mabango mbalimbali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Posted Date::11/19/2007 Muhimbili: Aliyepasuliwa kichwa MOI apooza upande Na Jackson Odoyo Mwananchi MGONJWA Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu Novemba Mosi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nadhani karibu wote mlishakumbwa na kero za panya na wengine bado mnasumbuliwa na hawa viumbe, mimi nilisumbuliwa sana lakini nilitumia hii mbinu na ndani ya siku mbili panya imekuwa historia...
2 Reactions
36 Replies
31K Views
Mbunge wa Tarime (CHADEMA) Chacha Wangwe, kama kawa ametoa kimbwanga Bungeni kuwa watoto wengi wa mitaani baba zao ni wabunge. Wangwe ambaye kila kukicha huwa anaibuka vimbweka vya aina yake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
hili jambo liko wazi, mabosi wengi hususan wa kiume hupenda kufanya mapenzi na wafanyakazi wao wa ndani, ilhali mke yumo mle mle ndani ya nyumba hiyo hiyo, mimi ninauliza je kwa nini inakuwa...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Kuna watu wametoka Jela wakatoka na mambo makubwa duniani. Hasa kwa Historia uvumbuzi wa vitu vingi muhimu umetoka magerezani. Waswahili wamesema si busara kukata tawi chini yake wakati...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
nimesoma kwa masikitiko hii habari kutoka mwananchi. naomba na nyie wanabodi muone uzembe wa wahudumu wetu wa afya. "Aliyeumia mguu apasuliwa kichwa, wa kichwa apasuliwa mguu. Na Jackson...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jana jioni ilikuwa siku yangu ya maajabu kidogo kutokana na vitu ambavyo niliviona sehemu Fulani mjini , nilikuwa nimetoka kazini kwenda sehemu nyingine kwa maongezi nikapigiwa simu kutakiwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa Taarifa tafadhalini sikilizeni na waambieni wengine,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Jamani Watanzania wezangu tuamkeni,tufungueni macho,tushikamane sote pamoja ,tuwe wa bunifu na tufanye kazi na uchumi utapaa zaidi ya rocket Mazingira ya kuendeleza chi ile bado...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia mwanamke mmoja ambaye ametabulika kwa jina la Chitoto Paulo mkazi Singida kwa kujihusisha na wizi wa vifaa mbalimbali zikiwemo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
au Northampton au tuseme EAST and WEST MIDLANDS sasa hivi kama kuna mtu anataka kwenda huko kwa treni basi chekini KINGSCROSS / ST PANCRAS station ILIVYOKUWA BEEFED UP btw hii itakuwa pia ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Putin warns US against military action on Iran Robert Tait in Tehran, Mark Tran and agencies Tuesday October 16, 2007 Guardian Unlimited The Russian president, Vladimir Putin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sina hakika kama wana JF waliiona hii hapa mtandaoni, ilikua forwarded kwangu few weeks ago and I loved it, hongera zimwendee mwandisi wake.....enjoy nawe. Hi, Hope this will make you smile if...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom