chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,404
- 24,988
Habari wadau wa JF hasa ndugu zangu wa Arusha.
Nina ugeni siku chache zijazo wa wiki nzima na kutokana na eneo la kazi na kufanikisha mipango yao ningeomba kuzitambua nyumba nzuri za wageni kwa maeneo tajwa hapo juu Tengeru/Usa river pamoja na makadirio ya gharama kama inawezekana.
Nikipata hata anuani ama namba za simu za wahusika nitashukuru sana.
Nategemea iwe ni sehemu ya kistaarabu bila kujali gharama.