Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkazi wa Mtaa wa Mabambase katika Manispaa ya Shinyanga, Saada Elias(24) amefariki dunia kwa kujikata koromeo kwa chupa ya soda. Mwanamke huyo alijiua kwa chupa muda mfupi baada ya kunyang'anywa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Alieuza chakula mwezi wa ramadhan baa ya mbawala kufikishwa mahakamani. Hatimae wafanya biashara waliouza chakula hadharani Zanzibar, kufikishwa mahakamani
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Msaada Tafadhali wadau naomba mnisaidie anayejua bei ya ndege ya bei rahisi toka tanzania kwenda japani nahitaji kwenda
2 Reactions
17 Replies
9K Views
Kama zilivyo nchi zingine Africa wataalamu wa fani za computer science, computer engineering, IT software wana association zao ambazo ukimaliza kusoma diploma au degree ni lazima usajiliwe kama...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
inawahusu? ...kwanini hawa pia wasihojiwe kwa sababu walikuwa kwenye nafasi ya juu ya Usimamizi wa Wizara ya Nishati na Madini kupitia Mawaziri ambao wamekuwa inflicted kwenye issue hii...Au na...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Habari wana jamvi,leo nina dodoso kama ifuatavyo:kutokana na awamu hii kuwa na changamoto zake nyingi sana ambazo kwa uhalisia wengi wetu tumeguswa sana kwa namna yoyote ile.Lakini ukweli utabaki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa Muda sasa, kupitia Social Media Pamoja na humu JF kuna mijadala mingi imekuwa ikiwasilishwa hasa mingi ikitoka Upande wa Hawa Ndugu zetu wa Kututia hofu kwa hii Vita ambayo Mh. Rais anapigania...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
ZANZIBAR KATIKA MABASI YA JIJI LA LONDON KAMA SEHEMU YA MATANGAZO YA SAFARI ZA NDEGE ZA SHIRIKA LA NDEGE LA UTURUKI Kwa siku mbili mfululizo sasa mabasi ya jiji la London yamekuwa yakibeba...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Msako mkali unaoendesha na Jeshi la polisi mkoani Tabora umefanikisha kuwatia mbaroni watumishi wawili wa basi la kampuni ya Osaka Raha inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kwenda jijini...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kufutwa kwa m/v road licence kunaelekea kutapunguza ajira baada ya wafanyakazi wa Yono waliopewa tends ya kukagua nagari kudai wanaweza kupoteza ajira. Source mfanyakazi wa Yono.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Itokee siku moja Rais Wa Jamhuri yetu kwa makusudi na katika kulipiza kisasi amtie kisu mtu Ikulu wakati wa kazi (yaani akiwa ofisini), je aweza kushtakia kwa kosa la jinai? Kama siyo ni kitu gani...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nasema kwa uchungu wako wapi mashujaa wetu? Waliopambana na Nduli Iddi Amin Dadaa mpaka akaikimbia Uganda! Wako wapi mashujaa wetu walio simama mwembe yanga wakatangaza vita dhidi ya mafisango...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Daudi aliteuliwa baada ya Sauli.... Mwenyezi Mungu akamwagiza Samweli amteue Sauli kwa kumpaka mafuta ili awe Mfalme wao.Sauli ni nani? Sauli alikuwa mtoto wa Kishi kutoka kabila la Benyamin...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu...
11 Reactions
66 Replies
8K Views
Wakuu jioni hii nilikuwa nasafiri na Fastjet ya kwenda Mbeya,nilifika mapema sana uwanjani kwa ajili ya kuwahi safari yangu Kufika pale uwanjani,nikafanya kuchekiwa na mpaka kupewa "boarding...
7 Reactions
82 Replies
9K Views
Ni baada ya kufanya kazi kwa bidii ili kusomesha watoto wao na kujitafutia ridhik wakishirikiana na vyama vya ushirika na hatima yake kuishia kulia kilio cha samaki NALETA KWENU KAMA NILIVYOIPOKEA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu si uungwana,mambo haya ndio huchochea hasira na visasi! Waliofanya kitendo hicho sidhani kama hata funga yao ina maana zaidi ya kujitesa kushinda njaa bure! === Kwa mijadala zaidi kuhusu...
13 Reactions
477 Replies
40K Views
Anatafutwa king of reply 2017 ambapo atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo: 1.Atatakiwa kuanzia kesho ujumbe wowote utakaotumwa jf kuwa kwanza kureply majukwaa yote Karibuni donge nono utatumiwa...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Jamii yetu inapitia mabadiliko makubwa yanayotulazimu kutafakari upya wajibu wetu kama wazazi. Mtindo wa malezi umebadilishwa na mageuzi yanayoendelea katika jamii. Wiki iliyopita, tuliangalia...
0 Reactions
3 Replies
675 Views
Wana Jamvi... hii inasikitisha sana... Hawa jamaa hawana wa kuwabana? Mbona wanatutesa hivi? Flight FN0126 ilikuwa itoke mbeya jana (12/06/2017) saa 16:30 na ifike Dar 17:55... Kuna msafiri...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom