Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana Jamvi... hii inasikitisha sana... Hawa jamaa hawana wa kuwabana? Mbona wanatutesa hivi? Flight FN0126 ilikuwa itoke mbeya jana (12/06/2017) saa 16:30 na ifike Dar 17:55... Kuna msafiri...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mamia ya wakazi wa Kinondoni Moscow wakishuhudia tukio la kijana anaetuhumiwa kuwatesa kwa miaka mingi kwa wizi na utapeli aliyefahamika kwa jina la Shabani Kandoro. Amekamatwa baada ya kuiba...
5 Reactions
68 Replies
7K Views
Mgogoro wa vibanda stend ndogo umechukua sura mpya ya kutishiana maisha.Eneo la Stend ndogo limegeuka uwanja wa vita kati ya wapangaji na wajenzi kwa upande mmoja na wafanyabiashara wapangaji na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaothibitika kuhusika kuliingizia Taifa hasara na kuwakosesha Watanzania fursa ya kufaidika na rasilimali za madini. Hoja hiyo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana ndugai amesema wanaandaa utaratibu wa kumpongeza jpm ambao utaratibu utatolewa leo! Hebu tuwe wakweli raisi anapongezwa kwa lipi lililofanikiwa? Kwasababu kama tume zilianza kuundwa toka enzi...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
*RipotiYaKwanza* *Lissu*: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia. *CCM*: Lissu analinda...
1 Reactions
2 Replies
727 Views
Habari zenu bandugu na jamaa naomba mnielekeze namna ya kuweka picha/video humu jukwaani from gallar Asante ni
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Salaam. Nimefuatilia kidogo na kugundua kuwa namna ya upitishaji wa sheria na mambo mengine katika Bunge letu LA Tanzania kwa kusema ndiyo au hapana na kisha speaker kusema waliosema ndiyooo...
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Watu wengi wamesoma makala kwenye gazeti la The Guardian la tarehe 14-05-2017 kuhusu kitabu cha Kiingereza darasa la 3 cha TET na utani wao unaoendelea hivi sasa kwamba Dodoma ni “big city” ya...
17 Reactions
114 Replies
21K Views
It might be best known for its wildlife, but Tanzania is facing a growing number of environmental concerns and biodiversity in the country is under threat. Rapid deforestation means more than...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Spika mstafu, Anna Makinda amesema kuna haja ya kuwajenga kikakamavu wasichana katika umri mdogo ikiwa ni njia ya kuwaanda kuwa viongozi wa baadaye jambo ambalo litasaidia kufikia 50/50 katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa vipi hii Blog pendwa ya Millard Ayo imepatwa Kwikwi gani maana naona zaidi ya masaa 20 imeganda Tu ,mwenye taarifa zaidi tafadhari naomba atujuze maana blog hii ni kama Mdogo...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Kwa kinachoendelea muda huu kwenye television ya taifa TBC no cha kupongezwa na kila mzalendo was nchi hii, huku binge la bajeti likiendelea gizani wao wako mubashara wanamwonyesha makonda...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Naombeni anayefahamu ugomvi baina ya Club ya Simba na ITV/Radio one anihabarishe. Kwa muda mrefu vipindi vya michezo katika TV na redio huwa hawatoi matokeo ya Simba wala kuzungumzia habari za...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Inasikitisha sana, inauma sana ya kwamba watu tuliowaamini na chama tawala CCM kilichoaminiwa na wananchi kuwa kitatuongoza kutuletea maendeleo Kumbe ilikuwa ni unafiki na ulaghai wa hali ya juu...
2 Reactions
1 Replies
830 Views
Ni kazi ya millardayo kuhakikisha haupitwi na chochote, nakusogezea hii nyingine kutoka jarida maarufu linalofatilia taarifa za watu mashuhuri na vitu vya kushangaza duniani,FORBES limetoa list ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna moto mkubwa sana West London, (Grenfell Tower) ina ghorofa 24, pole kwa waliofikiwa na haya majanga.. Ila watu wetu wa zimamoto, polisi, jwtz na wale wenye makampuni ya majanga (Kamanda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom