Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Kufutwa kwa m/v road licence kunaelekea kutapunguza ajira baada ya wafanyakazi wa Yono waliopewa tends ya kukagua nagari kudai wanaweza kupoteza ajira. Source mfanyakazi wa Yono.
Haahahaaa tuwe na Huruma jamaniSiwataki hata kuwasikia hawa majamaa, wanajfanya wajuaji na wanok sana. Kwisha habari zao, wasubr mpaka benki imdai mtu wakapge mnada nyumba za watu. Hii bongo usijifanye mjuaji, eti wanajifanya polisi huku hata SMG hawajui ina risasi ngapi!
Mara eeeehhh sisi n TRA , onyesha kitambulisho wanaanza kuhaha