Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
Kwa Muda sasa, kupitia Social Media Pamoja na humu JF kuna mijadala mingi imekuwa ikiwasilishwa hasa mingi ikitoka Upande wa Hawa Ndugu zetu wa Kututia hofu kwa hii Vita ambayo Mh. Rais anapigania Win Win kwa Wawekezaji wote waliyopo Nchini especially kwenye Sector ya Gas , Pamoja na Madini.
Sasa ukifuatilia Hoja za Ndugu yangu Zitto ukisikia kwa Makini Ni Kama anatuchanganya haeleweki anasupport au anapinga? Ukimsikia Lissu yeye ndio basi anatutia hofu kabisa kuwa tutaangukia Pua.
Wakubwa Raisi Ameshasema kuwa Sheria Zote , Sera Zote na Mikataba Yote Ifanyiwe marekebisho. Hivi Bado tunaamini kuwa Rais ataipitisha bila hivyo vipengele vilivyokuwa Nyoka kwa watanzania kuondolewa?
Ni Kweli kuwa kwa kujiridhisha kuwa sheria zilizopo waliokuwa wamepewa dhamana ya kuiwakilisha Serikali walipitisha hivyo vipengele kwa masilahi yao , hizo sheria haziwezi batilishwa?
Ni Kweli kuwa Sheria haipanguliki kisa tu imeshapitisha ilihali inakiuka maslahi ya kitaifa?
Hivi Lengo lenu hasa nini kutojumuika na kutoa msaada wa hayo mnayoyajua ili tuondoke hapa tulipofika na hao mabwanyenye watuheshimu?