Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,417
Wana Jamvi... hii inasikitisha sana...
Hawa jamaa hawana wa kuwabana? Mbona wanatutesa hivi?
Flight FN0126 ilikuwa itoke mbeya jana (12/06/2017) saa 16:30 na ifike Dar 17:55... Kuna msafiri nilimkatia ticket aje na alikuwa anatokea Katavi .... waliisha fika mjini mbeya na kujiandaa kuondoka, by saa 16:50 fastjet ndo wanapiga simu kutoa taarifa kwamba ndege imeahirishwa.... tiyari niliisha tuma taxi kumpokea mgeni na nimelipa 40,000.
Hiyo inaeleweka shida ni technical, waliwapeleka abiria Hotelini mbeya kwamba wataondoka leo na kuwalipia.... Leo Saa 10:50 wakapiga simu tena kwamba ndege ya leo nayo haitakuwepo na hawako tayari kuendelea kuwalipia hotel abiria na watarudisha hela. Haya rudisheni hela, wanasema kwa sababu ililipwa kwa simu / mtandao itarudi kwa utaratibu huo ndani ya masaa 48. Kwenda Air Tanzania sababu unataka ticket kwa muda mfupi gharama ni kama 370,000.
Nnacho jiuliza, kwa nini wasinge wataarifu mapema abiria kwamba hata kesho ndege haitakuwepo ili waondoke kwa basi leo asubuhi?
Je, kwa nini wasiwalipie hoteli na siku ya leo ili waondoke kesho kwa abiria ambao wangesubiri?
Kwa nini warudishe hela ndani ya masaa 48 wakati utakuta kwa abiri wangine ndo pesa pekee waliyo kuwa nayo?
Na mwisho watoe taatifa mapema maana nisingelipa 40k ya taxi kama wangetutaarifu mapema kwamba ndege haitakuwepo...
Kwa kifupi hawa watu hawatujali maana sidhani kama wanayo tufanyia hapa wanaweza yafanya kwao...
Tafadhali naomba sana vyombo husika muwachunguze hawa wawekezaji watesaji.
HIVI BIASHARA YA NDEGE TZ IMEROGWA NA NANI MAANA USAFIRI HUU HAUJAWAHI KUWA SMOOTH MIAKA NENDA MIAKA RUDI.