TANZANIA BAADA YA MAGUFULI

pojore

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
474
1,679
Habari wana jamvi,leo nina dodoso kama ifuatavyo:kutokana na awamu hii kuwa na changamoto zake nyingi sana ambazo kwa uhalisia wengi wetu tumeguswa sana kwa namna yoyote ile.Lakini ukweli utabaki palepale kwamba kwa rais ajaye lazima avae tu mikoba mema aliyoicha Magufuli hivyo bila kufichana chochote ninahitaji mawazo kutoka kwenu kwamba baada ya awamu ya Magufuli Tanzania yetu itakuwa katika hali ipi kwa kuzingatia nyanja mbalimbali?
 
Ni mapema sana kutabiri maana bado ana miaka saba (7) ya kuongoza JMT
 
Ase japo ni mapema ila utabir wa haraka awamu ijayo itatumia achievement za awamu hii na kuachia kwa jamii kama hela...kwa now makusanyo yote yamebaki serikalin ..
 
Back
Top Bottom