Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni rubbish, ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi?
Huyu jamaa alishwahi kusema kwamba Majaji wa Tanzania hawajui Kiingereza, sasa sijui aliwapima vipi na yeye ana uhakika gani kama anakijua hicho Kiingereza ukiwalinganisha na Majaji wa Tanzania ukichukulia amezaliwa na kukulia Singida?
Namaanisha mtu ambaye siyo native speaker wa Lugha x anawezaje kusema wenzake ambao wote wana Elimu sawa siajabu hata wamemzidi kwamba hawaijui hiyo Lugha x ilihali yeye siyo native speaker?
Namuongelea Tundu Lisu, ana matatizo kichwani, ...