Je,Mawaziri wakuu wastaafu Lowassa na Sumaye issue ya makinikia si...

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,111
10,214
inawahusu? ...kwanini hawa pia wasihojiwe kwa sababu walikuwa kwenye nafasi ya juu ya Usimamizi wa Wizara ya Nishati na Madini kupitia Mawaziri ambao wamekuwa inflicted kwenye issue hii...Au na wao waachwe wapumzike wana kinga? Povu ruksa.
 
Kwa mwendo huu sidhani kama kuna mtu atafikishwa mbele ya sheria.
 
inawahusu? ...kwanini hawa pia wasihojiwe kwa sababu walikuwa kwenye nafasi ya juu ya Usimamizi wa Wizara ya Nishati na Madini kupitia Mawaziri ambao wamekuwa inflicted kwenye issue hii...Au na wao waachwe wapumzike wana kinga? Povu ruksa.
Wametajwa kwenye ripoti IPI?
 
Back
Top Bottom