Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa...
US naval warships arrive in Qatar for military exercise
Two US Navy vessels arrived in Doha to take part in a joint military exercise with the Qatari Emiri Navy just days after US President...
Habari WanaJF,
Sema Tanzania kwa ushirikiano mkubwa na JamiiForums, tunapenda kuwaletea taarifa hii nzuri kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam.
#SikuYaMtoto inafanyika tena kwa mara ya pili...
Haya watanzania wenzangu mabingwa wa kushangilia na wepesi wa kusahau!!!mwizi anakuja unamkaribisha unampa chai anakwambia atakulipa alichoiba kiasi gani,lini,wapi na kwenye acc.hipi until further...
Habari zenu wana JF...
Kama kuna viumbe hai viovu na vibaya duniani binadamu atakuwa namba moja. Maisha yangu yote nilikuwa sijafahamu vizuri tabia na mienendo ya binadamu. Japo sina uhakika...
Wauguzi wawili wa Hospitali ya wilaya ya Manyoni mkoni Singida wamesimamishwa kazi,baada ya kumwachia mtoto wa miezi minne kamba kwa muda wa zaidi ya masaa nane ,ambayo waliifunga mkononi kwaajili...
Myths za mnyama Paka ni nyingi
Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani)
-Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya...
Muziki ni dawa ya kupata amani ya roho kwenye hali ya mtanziko, binafsi napenda sana kusikiliza muziki mpya hasa hasa wa kispanish ambao huko slow and easy na nitaweka hapa baadhi ya akiba ya...
Binafsi sina ushirika, Ukaribu wala uhusiano wa namna yoyote na Mtanzania Tundu Lisu.
Mwana sheria mahiri makini na mwenye kofia kadhaa za Kitaaluma, Kisiasa, Kiharakati na nathubutu kusema raia...
Nisaadieni, watu wa umeme vijijini wameweka nguzo ya umeme Mita 5 kutoka kwenye nyumba. Je ni sawa? Je standard ya nguzo ya umeme inabidi iwe mita Ngapi kutoka eneo husika?
Wakuu naombeni mnijuze nitapataje laini ya chuo ya TTCL maana mimi sina kitambulisho na sio mwanachuo. Jamaa laini zao wanabando na kasi nzuri.
Je nitaipataje jamani, mwenye kunisaidia maana hawa...
Heshima mbele wadau.
Naomba kupata mawasiliano kwa maana ya namba ya simu ya Kowak Girls Secondary School na Ikizu Secondary School. nisaidie kupata namba hizo nijaribu kupata nafasi ya uhamisho...
MWENYEKITI wa Kitongoji cha Ituunyi, Kata ya Masama Mashariki, Wilaya ya Hai, Wariading’u Anasa, ameiteketeza nyumba yake kwa moto wa mafuta ya petroli, baada ya mkewe kuchelewa kumfungulia...
Habari.
Kwa ufupi kabisa niseme tu binafsi nilifika Dsm miaka 6 nyuma nilizikuta na kuzifahamu products kutoka kwa Barharesa almaarufu Azam tu, huku Mo akiwa anatetea taaratibu,ila kwa sasa...
Kinachoendelea bungeni katika bunge LA bajeti wanajijua ccm wenyewe maaana hakuna utetezi wowote juu ya maslahi ya wafanyakazi kazi kushangilia kila jambo Mungu anawaona
Kusema Ukweli Kwa Jinsi tunavyopingana sisi kwa Sisi, Yaani Wasomi Kwa wasomi, Layman kwa Layman, Viongozi kwa Viongozi, Hata Wazungu Wanatushanga Kuwa ni Watu Gani Ambao Wasogoana kwa Vitu...
wakuu
katika kuendelea na utekelezaji wa azimio la wahariri, leo nijaribu kubadili channel ile tarifa ya habari na kuweka star tv
ajabu nikakuta wanarusha habari ya huyu Bashite, yaani kumbe hiki...
Napenda kutoa wito kwa watanzani wote. Tuisaidie serikali na wabunge wetu kwenda kutengeneza sheria bora za madini, gesi asilia na mafuta kwa kutoa maoni yetu. Tutaweza kutoa maoni yetu vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.