Nimekuwa Mtembezi Wa Maeneo Mengi Hapa Dsm Na Tanzania Kwa Ujumla.
Nimebaini Aibu Hizi Mbili
Utakuta Stationery Ya Msomi Mkubwa Imeendikwa Kwenye Bango Zuri Kwa Herufi Kubwa..STATIONARY... Hii...
Wakuu salama?
Nataka kuanzisha kampuni ya burudani Naomba ushauri kama kuna mtu anajua taratibu zake zikoje na wapi pa kuanzia maana hata brela website yao sijaona hii kitu zaidi ya sole...
Kuna vitu kuhusu watu maarufu kama viongozi, wasanii nk. tuliwahi kuambiwa tukiwa wadogo na hata ukubwani ambavyo kwa kweli vilisisimua. Tatizo kuhusu nyepesi hizo ilikuwa ni vigumu kuziona au...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia wanawake wawili katika matukio tofauti likiwemo la mwanamke mmoja kumuua mwanaye.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema katika...
Wakuu kwa wale wakazi wa Dar natafuta nyama ya pori (swala,kongoni etc) kwa ajili ya kitoweo nyumbani kwangu. Natafuta iliyo mbichi au kavu nikaipike mwenyewe. Mwenye kujua asaidie tafadhali.
Maduka matatu ya Mfanyabiashara Steven Gikaro mkoani eneo la Mtakuja mkoani Mara yaliyokuwa yamehifadhia vifaa vya ujenzi na kemikali yanateketea kwa moto.
Kmanda wa polisi mkoa wa Mara amesema...
Wakuu najaribu tu kujiuliza hivi tulishawahi kupeleka wataalamu kule South Africa au Ghana.. Ili tujifunze mikataba yao ikoje? Maana haiingii akilini kusaini mkataba wa madini yenye thamani kama...
Wakazi zaidi ya 2,000 wa kijiji cha Chembeli kata ya Didia wilayani Shinyanga wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kufuatia mradi wa maji uliojengwa mwaka 2014 kuwekwa mabomba mabovu hali...
Kwa hapa nchini ili uweze kugombea uongozi TFF au katika klabu kadhaa za michezo inabidi uwe una angalau elimu ya kidato cha nne. Cha ajabu ili kugombea ubunge inabidi ujue tu kusoma na kuandika...
Kitendo cha wabunge wa ccm kumshambulia bila kumwelewa Tundu Antipas Lisu na wengine wakiwa wabobezi katika sheria, nimekaa na kutafakari kama kweli tuna mlengo wa kukomboa rasilimali za nchi hii...
Unapokuwa una hisia na kufanya jambo fulani kama unataka kucheka we cheka Tu,ukitaka kulia we lia usiangalie fulani atanionaje mimi nikifanya haya..kiafya huwa inasaidaia sana!
Kituo cha afya cha Muhukuru kilichopo wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa dereva wa kuendesha gari la wagonjwa la kituo hicho ambapo imepelekea watu watatu...
Kufahuru mtihani ni jambo moja na kuweza kugundua mambo ni jambo jingine,
Hii timu imeongoza tangu mwanzo hadi leo hii, bado inaongoza tu, mambo yote yanashughulikia hii Timu, kuna watu kwenye...
Hivi karibuni nimeshangazwa sana kuona walinzi wa KK waliopo lindoni ni wakenya. Je ni sawa kwa kazi za ngazi za chini kama ulinzi kuchukuliwa na raia wa nchi nyingine. Naomba wanaofahamu wanijuze.
Habari wakuu.
Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.
Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje?
Nashukuru sana...
Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.