Ni baada ya kufanya kazi kwa bidii ili kusomesha watoto wao na kujitafutia ridhik wakishirikiana na vyama vya ushirika na hatima yake kuishia kulia kilio cha samaki NALETA KWENU KAMA NILIVYOIPOKEA KUTOKA NYASA.
Chama cha msingi cha ushirika AMCOS kingerikiti kimesababisha upotevu na hasara ya shilingi zaid ya milion70 I hope na kupelekea wakulima kutolipwa hela ipasavyo.
Afisa ushirika wa wilaya ya nyasa ametoa tamko kuwa kuna makosa ya kiutendaji yalitokea na hivyo anaomba wakulima wawasamehe wahusika waliosababisha upotevu huo.
Magufuli tunaomba serikali yako itupie jicho nyasa vingnevyo hatutakuelewa watu wamechoka hawajui nini wafanye viongozi wanateteana wasemehewe kweli jamani mungu anawaona