Zanzibar: Waliouza chakula siku ya Ramadhan kufikishwa mahakamani

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
792
1,144
Alieuza chakula mwezi wa ramadhan baa ya mbawala kufikishwa mahakamani.

Hatimae wafanya biashara waliouza chakula hadharani Zanzibar, kufikishwa mahakamani
 

Attachments

  • IMG_9180.mp4
    10.9 MB · Views: 41
Katiba zote mbili (Tanzania bara na Zanzibar)zinatamka kabisa "TANZANIA HAINA DINI ILA WATU WAKE WANA DINI",sasa inakuwaje watu wajilie vyao nyie muwapeleke mahakamani?this is unfair na naomba wanasheria watusaidie kwa hili,hakuna chuki mbaya duniani kama ya kidini na haijawahi kuziacha nchi nyingi salama,Tafadhali msituvurugie amani ya nchi acheni watu wengine wa madhehebu mengine waenjoy na uislamu usiwe tishio kwa wengine
 
Serikali ilishasema watakaouvunjia heshima mwezi mtukufu wa ramadhani Zanzibar, "kukiona cha moto"
 
Back
Top Bottom