Dereva na Konda wa Basi la Osaka wakamatwa kwa kusafirisha bangi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,720
2,000
Msako mkali unaoendesha na Jeshi la polisi mkoani Tabora umefanikisha kuwatia mbaroni watumishi wawili wa basi la kampuni ya Osaka Raha inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kwenda jijini Dar es salaam wakiwa na mifuko mitatu ya bangi wakiwa wanaisafirisha kinyume cha sheria,wakiwa wameficha harufu yake kwa vitunguu vilivyosagwa.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari mkoani Tabora Kamanda wa polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi Mwandamizi Millibroad Mtafungwa amewataja majina kuwa ni William Michael (34)dreva,mkazi wa Dar es salaam,na Leonard Astoni (42) Kondacta naye wa Dar es salaam,watumishi wa basi hilo la Osaka Raha,lenye namba za usajili T968CPC.

Aidha amesema kuwa,msako huo umefanikisha kumkamata mtu mmoja Bw,Yasini Salum (580) mkazi wa Sikonge akiwa na vipande 5 vya meno ya tembo vikiwa na thamani ya zaidi shilingi milioni 33,ambapo upelelezi unaendelea ili ijulikane alikuwa anayapeleka wapi na baadae atafikishwa mahakamani.

Kutokana na kufanikisha kukamatwa kwa vitu hivyo amewataka wananchi wa mkoani Tabora kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuokoa vijana na bangi pamoja na rasilimali za nchi.

Chanzo: ITV
 
Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,604
2,000
ba3.png

ba.png

ba2.png

Chanzo; IPP media
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,580
2,000
Magendo na hongo ni Ndugu moja.
No hongo no magendo.
Magendo dhuluma na usaliti na kukamatwa wako timu moja.
Play smart
mathematically
Magendo=kukamatwa
Dhuluma=kukamatwa
Usaliti=kukamatwa ≥kifo
Hongo=kukamatwa
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,327
2,000
Msako mkali unaoendesha na Jeshi la polisi mkoani Tabora umefanikisha kuwatia mbaroni watumishi wawili wa basi la kampuni ya Osaka Raha inayofanya safari zake kutoka mkoani Kagera kwenda jijini Dar es salaam wakiwa na mifuko mitatu ya bangi wakiwa wanaisafirisha kinyume cha sheria,wakiwa wameficha harufu yake kwa vitunguu vilivyosagwa.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari mkoani Tabora Kamanda wa polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi Mwandamizi Millibroad Mtafungwa amewataja majina kuwa ni William Michael (34)dreva,mkazi wa Dar es salaam,na Leonard Astoni (42) Kondacta naye wa Dar es salaam,watumishi wa basi hilo la Osaka Raha,lenye namba za usajili T968CPC.

Aidha amesema kuwa,msako huo umefanikisha kumkamata mtu mmoja Bw,Yasini Salum (580) mkazi wa Sikonge akiwa na vipande 5 vya meno ya tembo vikiwa na thamani ya zaidi shilingi milioni 33,ambapo upelelezi unaendelea ili ijulikane alikuwa anayapeleka wapi na baadae atafikishwa mahakamani.

Kutokana na kufanikisha kukamatwa kwa vitu hivyo amewataka wananchi wa mkoani Tabora kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuokoa vijana na bangi pamoja na rasilimali za nchi.

Chanzo: ITV

Dah ajali kazini, jamaa wamechagua maisha ya kuwa mbali na wapendwa wao.
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,671
2,000
Kuna mtu kachoma hapo, ndio maana issue kama hizi zinahitaji "uscolfield" Sana, Napakia kwenye Osaka, nazunguka Nazo kwenda petrol station nabadilisha naweka kwenye roli lililobeba dagaa katikati.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom