aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 792
- 1,144
ZANZIBAR KATIKA MABASI YA JIJI LA LONDON KAMA SEHEMU YA MATANGAZO YA SAFARI ZA NDEGE ZA SHIRIKA LA NDEGE LA UTURUKI
Kwa siku mbili mfululizo sasa mabasi ya jiji la London yamekuwa yakibeba tangazo ya shirika la ndege la Uturuki ambalo linapigia debe kituo chake kipya cha safari ya ndege zake “Zanzibar*.
Hatua hiyo ya shirika la ndege la Uturuki kuitangaza Zanzibar limeiweka Zanzibar katika maeneo muhimu ya utalii “Tourist Destination” .