Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Kwa ambao mko majuu, naamini angalau mara moja ushawahi kuona jinsi watu weusi tunavyokuwa wakali wazungu wakituita 'nigger'. Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo tunaweza kukubali matumizi ya neno hilo kama linatumika baina yetu sisi watu weusi. Utasikia weusi wakisalimiana- 'whats up nigger?' huku wakigongea na kucheka lakini tatizo linakua kama phrase hii itatokea kwenye kinywa cheupe! Huu si ubaguzi?
Na kwa upande mwingine pia, japokuwa neno hili linapigwa vita na kuonekana ni racism lakini sisi weusi wenyewe ndo tuna promote kwa kiasi kikubwa matumizi yake. Angalia movies za black, sikiliza mashairi ya rap songs za black americans, its nigger, nigger, nigger- from the begining to the end- na wazungu wanazisikiliza nyimbo hizi na kuzipenda.Sasa nani alaumiwe hapa?