Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Nilifanikiwa kupiga picha hii katika sendoff party moja iliyofanyika huko Manchester weekend hii.
Baada ya DJ kuanza kupiga mduara, kina dada waliokua kwenye meza hiyo walikimbilia kwenye dancing floor na kuacha simu, kamera pamoja na handbags zao kama unavyoona hapo.
Nikajiuliza kimoyomoyo- ingekua bongo wangethubutu kuviacha hivyo vitu hapo? na kama wangeviacha yangewasibu yepi?......