Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATU watatu wamenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka garini na kuangukia barabarani na kuponyeka kukanyagwa na magari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajemeni nawauliza hivi mshindi wa SCANIA ya bahati nasibu ya mwl nyerere ameshapatikana? mi nimeshinda plau hadi leo sijaliona!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ninaleta jukwaani habari ambayo kama hujaisikia kutoka eneo la tukio ni lazima uwe na mashaka na uwezekano wa tukio husika. Leo kulikuwepo mkutano wa hadhara huko jimboni Busanda ambako...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MWANAMKE mmoja wa Kijiji cha Mambegwa Msowelo Kilosa ,Morogoro anashikliwa na polisi Mkoani Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mume wake kwa kumvuta sehemu za siri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
We all know that very few African countries are in the business of manufacturing arms of any kind save for South Africa. We are all net importers of military armaments we deploy in our conflicts...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mvuta Sigara maarufu wa aina ya Sportsman inayotengenezwa na Tanzania Cigarette Company (TCC), kama miezi miwili iloyopita nimekuwa na uzito kwenye kifua, pumzi kubana na kukohoa mara kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nawatakia wana jamii wote mfungo mwema.Mungu atupe nguvu tumalize salama.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
angalia maajabu haya hapa:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkutano wa kujadili matatizo ya umeme napenda kukujulisha kwamba kutakuwa na mkutano wa kujadili matatizo ya umeme katika mji wa arusha siku ya jumapili tarehe 23 mwezi wa 8 mahali ni aicc...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mh!i ain't get ya! clarify ple
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya kuwa na kompyuta, nilikuwa nasikiliza redio kuhusu muandamo wa Mwezi. Mara nyingi nilikuwa nazipata habari za mwezi kwenye saa 8 za usiku. Kwa hiyo yoyote atakaepata habari za kuandama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ninasikitika kuwataarifu Mhashamu Askofu Athony Mayalla wa jimbo la Mwanza amefariki dunia katika Hospital ya Bugando.....! Habari zaidi zitafuata.
0 Reactions
90 Replies
25K Views
Hakika zimesalia siku chache sana kabla waumin wa Kiislamu hawajaanza kufunga mwezi katika mwezi mtukufu wa ramadhwani. kama ilivyobainisha katika Qur'An ((Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Na Suleiman Abeid, Shinyanga HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga imekumbwa na kashfa ya ufisadi baada ya kudaiwa kutoa mkopo wa sh. milioni saba benki kwa kughushi nyaraka na kumlipa mshahara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunaangaika kuwapatieni maisha bora kwa kila mtu!!!! Hatulali kwa ajili yenu na ndo maana hata kwenye vikao vya NEC na EE tulitaka kuchapana makonde.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAAMUZI yaliyopitishwa wiki hii na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwadhibiti wanachama, hususani Wabunge wake ambao wamekuwa msitari wa mbele katika kukipaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kule Dodoma leo walimu wa shule za msingi wamegoma na hivi sasa wapo viwanja vya Nyerere Square wakitoa malalamiko yao kwa afisa elimu mkoa juu ya kauli ya kifedhuli ya Mwantumu,yaani shule leo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama WaPemba wangenyamaza kimya kauli hii isingewahi kusikika miongoni mwa WaTanzania wenye dhamana ,haya ni maendeleo ambayo ni ya kuigwa katika kuilinda haki,tusikubali kuonewa wala kunyanyaswa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Askari mmoja huko mbagala alimpiga mwenzake risasi ya sehemu za nyuma huku ikimuumiza na yeye mkononi. sasa tuseme huyo askari hakufundishwa jinsi ya kutumia hii silaha au ndio mara yake ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF mpigieni kura Illuminata Wize, Mtoto wa Kisuma anayetuwakilisha TZ na pia East Africa kwenye mashindano ya miss world 2009 Kong'oli hapa: http://www.missuniverse.com/members/contestants...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom