Mtanzania alishinda Nobel na Gore?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,549
40,204
UDSM don becomes a joint recipient of Nobel Peace Prize

2007-12-01 08:43:14
By Hellen Nachilongo (guardian)

The University of Dar es Salaam has announced that one of its dons, Prof Pius Yanda, was among co-authors who on October 12 this year jointly received the prestigious Nobel Peace Prize.

In a statement released in Dar es Salaam on Thursday, the university�s public relations office said Yanda was a joint recipient of the world`s top prize with former US vice-president Al Gore for co-authoring the Inter-Government Panel for Climate Change (IPCC) report.

Yanda, according to the statement, is a professor of Physical Geography specialising in natural resources management and environment and is currently engaged in a research project that provides high resolution information on predicted future climate change and associated impact on natural and social systems in various parts of Tanzania.

The project is conducted in collaboration with Michigan State University of the US and the Livestock Research Institute of Nairobi.
 
Mimi pia nilisoma hii ikiwa kwenye ya hotuba ya VC kwenye graduation. Kilichonishangaza ni ukimya wa habari yenyewe. This kind of news is usually a big news all over the world, iweje iwe kimya namna hii? Isitoshe, kwa jinsi CCM wanavyopenda misifa nina uhakika JK angeshaipalia na kuipigia deba sana. Labda kweli, ngoja tusubiri tumpe kudos zetu Prof Yanda.
 
Hivi hao watu wa Nobel hawana website tunayoweza kwenda na kutafuta information? Hebu ngoja nifanya research yangu mwenyewe
 
Website hii hapa. Mimi nimetafuta jina huyo mbongo sijaliona popote pale. Ila kuna mbongo mmoja nimeona yupo kwenye moja ya working groups...m-browse na nyie labda mwaweza kumwona sehemu

http://www.ipcc.ch/index.htm
 
Website hii hapa. Mimi nimetafuta jina huyo mbongo sijaliona popote pale. Ila kuna mbongo mmoja nimeona yupo kwenye moja ya working groups...m-browse na nyie labda mwaweza kumwona sehemu
http://www.ipcc.ch/index.htm

Nyani nadhani uko sahihi. Nimejaribu kutafuta jina lake katika authors wa hiyo report, sijaliona. Hebu bofya kwenye hii tovuti:

http://www.ipcc.ch/pdf/assessment-report/ar4/wg3/ar4-wg3-annex3.pdf

vilevile nimejaribu kuangalia katika reviewer wa hiyo report, sijaliona jina lake. Hebu bofya kwenye hii tovuti.

http://www.ipcc.ch/pdf/assessment-report/ar4/wg3/ar4-wg3-annex4.pdf

Kwa mwenye taarifa zaidi atupatie.

 
Ebana eeehh...kumbe ntu kibaaaaoooo ziliandika sijui kureview hiyo report....
 
This is good news for Tanzania! Serikali hata ingemwita kumpongeza! Tatizo kila kitu siasa tu!
 
Mambo mengine ni bora mtu unyamaze! Hii zawadi amepewa Gore na Ipcc kama organization na si watu binafsi. Mwaka 2001 walipewa Umoja wa Mataifa na Kiongozi wake Kofi Annan! Mbona sikusikia hao watanzania kibao walioko UN wakidai kuwa wao nao ni co-recipients? Tusipende sifa zisizo na maana. Profesa ataweza kuweka kwenye CV yake kuwa alichangia kwenye tume iliyowahi kushinda Nobel Prize. Na si vinginevyo! Chonde chonde wenzangu tusije umbuka! Mimi sidhani Profesa alidai hivyo, nina wasiwasi na hawa waandishi wetu wa habari!
 
Jina limo ila wako kibao! Though is nice seeing some guys fro Bongo.Yanda, Pius
University of Dar-es-Salaam
Tanzania
 
Nafikiri University of Dar es Salaam walitakiwa kuliweka sawa hili suala Watanzania wasije kuumbuka. Kama mtu amewekwa kwenye list kwa kuchangia mawazo yake inabidi tuseme hivyo na siyo kashinda tuzo.

Mimi niliposikia kashinda tuzo nilijua basi alikuwa peke yake. Kumbe mambo yako tofauti. Anyway tumpongeze angalau tu kuliweka jina la Tanzania ktk list ya watu waliochangia angalau ameweza kuonyesha kuwa pamoja na kwamba Tanzania ni inchi masikini tunaweza kutoa michango yetu ktk mambo mabalimbali.
 
Back
Top Bottom