Serikali na Vyama nani Zaidi?


Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Messages
561
Likes
1
Points
35

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2007
561 1 35
Kuna thread moja hapo awali ambayo iliuliza..." Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?" na kwa mantiki hiyo nikaona kwa nini nisiulize kama...

'Ungepewa Uenyekiti wa Chama- iwe chama tawala au upinzani utatufikisha vipi 2010'?

Je kuongoza chama ni sawa na kuongoza serikali?
Ni nani zaidi katika kuleta Maendeleo ya Jamii, Siasa na Uchumi?-Serikali au Chama?
 

Forum statistics

Threads 1,204,589
Members 457,390
Posts 28,163,715