Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

South Africa's World Cup dry run has been hit by a robbery at the Egyptian team hotel in Johannesburg. Local police are investigating the theft of some US$2,400 from the rooms of five unnamed...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
POLISI nchini Uganda inamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tatu anayechukua masomo ya Sayansi ya Jamii na uongozi katika Chuo Kikuu cha Kyambogo nchini humo, Sam Buyinza kwa tuhuma za kumuua rafiki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jerry Okungu LAST week I was equally miffed by the so-called African envoys at the United Nations Human Rights Council that purported to have spoken on behalf of the continent regarding Prof...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HISTORIA ILIYOTUPWA Nimerudi tena katika mambo ya historia leo naangalia baadhi ya vitu katika historia vilivyotupwa au kupotoshwa kwa makusudi kabisa kutokana na watu kuwa na maslahi yao au...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku ya jana na leo kumetokea tatizo kubwa sana la ununuzi wa Umeme (LUKU) katika mkoa mzima wa dar es salaam.watu wamejazana kwa mawakala toka jana asubuhi wakisubiri huduma bila mafanikio.Hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AVIATION is "basically very safe" and all the air crashes that happened with major airlines in recent years were combined results of "very rare" factors without a common trend for the crashes, a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utamaduni wetu umekuzwa kwa aina ya misemo mingi yenye malengo kama ifuatavyo. Kutiana moyo. Haba na haba hujaza kibaba, maonyo haraka haraka haina baraka , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Maelezo ya Serikali ujenzi wa Chalinze-Segera utata-Spika Na Muhibu Said 19th June 2009B-pepeChapaMaoni Spika wa Bunge Samuel Sitta. Spika wa Bunge Samuel Sitta, amesema amepokea maelezo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha News Editor Ndugu Dennis Msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika...
1 Reactions
89 Replies
16K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida katika jiji la Dar es salaam kuona wasichana wadogo(ndizi kisukari) wakiwa na wazee wakizungu, wasichana hao ambao wengi wao ni wa miaka chini ya ishirini wamekuwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Misafara ya viongozi nje kupungua Imeandikwa na Basil Msongo, Dodoma; Tarehe: 18th June 2009 @ 14:02 Habari Leo Rais Jakaya Kikwete ameagiza kuangaliwa upya kwa idadi ya watu wanaosafiri na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wapendwa, jaribuni kutembelea sehemu mbalimbali za JF, kwani kuna mengi ya kujua na kujifunza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Waungwana, Kuna mtu fulani aliniambia yafuatayo kuhusu mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania. 1) Mashindano haya yanapokaribia kufikia hatua za mwisho yaani kabla ya kuingia Kambi Kuu, picha...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
SALAMU ZA TAHADHARI Ndugu Watanzania Wiki iliyopita kulikuwa na Taarifa moja kubwa lakini haikupewa mkazo sana navyombo vingi vya kimataifa , inayohusu baadhi ya kampuni za mtandao katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nauliza swali ambalo linaweza hata kuwasaidia waamuzi katika Serikali yetu. Kati ya Barabara zifuatazo ni ipi bora kiuchumi kwa njia nne kabla ya nyingine:- 1. Kimara - Mlandizi hadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Singida sasa nikapita kijiji kimoja abiria mwenzangu nilikuwa nimekaa nae akaniuonyesha katikati ya Tanzania Kule Dodoma na nikapaona ila mazingira DU...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali yapoteza dola bil 1.5 sekta ya madini na Prisca Nsemwa, Bagamoyo Tanzania Daima~Sauti ya watu PROFESA Ammon Mbelle wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitengo cha Uchumi, amesema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeona eti inate mabilioni ya fedha ni kunusuru mashirika yaliyouza mazao kwa hasara.Kwanini fedha hizo zisiimarishe miundombinu kwa wafanyabiashara wenye nguvu na mitaji ya kutosha.Utaratibu huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kweli yametokea, kijana alikuwa anasoma Bsc. Engineering geology . Wazazi wake ni maskini wa kutupwa. Ni wa kulima wa kujikimu mkoani mbeya. Mtoto wao baada ya kufaulu vizuri alichaguliwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Je,unajua unahuitaji fedha kiasi gani kustrahe jijini Dar?Inaaminika kuwa mabwenye mashuri utumua hadi $1000 katika muda wa siku mbili kustrahe jijini Dar.....mahoteli ndio yamefahidhika kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom