Bishop aua Mchungaji kugombea demu Mwanza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bishop aua Mchungaji kugombea demu Mwanza!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MzalendoHalisi, Dec 4, 2007.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Police in Mwanza Region have launched an investigation against a bishop (name withheld), in connection with the brutal murder of pastor Claude Clevance Ishengoma of Highway Holiness Church at Igoma suburb in the lake side city last Saturday.

  The bishop who runs a church for born-again Christians is believed to have hired hit men to finish off pastor Ishengoma after they were embroiled in a feud.

  "We are investigating the bishop along with other suspects following tips-offs from various sources," Mwanza regional police commander Zelothe Stephen said yesterday.

  He said: "Some people believe that a clergyman in the church had contracted the assailants while others say the two men were indulged in a quarrel over their lover they shared. We are investigating the matter."

  The commander said police are interrogating seven other suspects over the murder of the pastor.

  Two of the suspects are reported to have been found in possession of a laptop and two wireless microphones belonging to the murdered pastor.

  The two were arrested at an Internet caf頡t the city centre while testing the laptop.
  On November 23 at 8.30p.m, unidentified assailants stormed into pastor Ishengoma's residence and hacked him to death.

  http://www.thecitizen.co.tz/newz.php?id=1605
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bishop Amri ya 5. inasema USIUE,
  Hakika dunia imeharibika hakuna ubinadamu tena kama hata hawa viongozi wa dini wanaingia katika bifu hili hakuna imani nao tena.
   
 3. J

  Judy Senior Member

  #3
  Dec 5, 2007
  Joined: Aug 13, 2007
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we shika sana ulichonacho, wala usiangalie bishop, pastor or priest kafanya nini, siku ya hukumu kila mtu atasimama peke yake kutoa hesabu zake.
   
 4. m

  mandilo Member

  #4
  Dec 5, 2007
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dada unachosema ni SAHIHI nakuunga mkono
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Dec 5, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  mimi nadhani ilikuwa kweli kumbe ni maneno ya mtaani? Nakumbuka Mheshimiwa El Commandante JK alisema mahali fulani kuwa tusitoe tuhuma hadi tupate ushahidi; na akasema tusigeuke wapelelezi; on the other hand kuna story kwenye mojawapo ya magazeti huko Pwani ambako dada mmoja naye amechoma moto makanisa mawili ati "wamemroga"...
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Dec 5, 2007
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Tusipo wafuata na kuwaiga viongozi wetu wa dini tuwafuwate kina nani? Kuna msemo mmoja unasema hivi Practice what you preach…! Mi nadhani hawa wana Practice what they Preach

  Hii ingekuwa habari kubwa na yenye kushibisha vyombo vya habari kama walio fanya hivi ni kutoka msikiti Fulani au ni mashekh Fulani…! (Mnisamehe Just Joke).

  Na bado dunia itazidi kuwaumbuwa.

  kama viongozi wanakosa maadili na hawakemewi na wakubwa wao ni nani basi atawatetea waumini.

  Hawa watu wanadhima kubwa mbele ya M'mungu... hawa si ndo ukitaka ku'Confess unakwenda piga magoti kwao na kukusamehe dhambi zako? Sasa kwa mtindo huu kuna kusameewa kweli au ndo Tunasame-HEWA?

  Tuwache utapeli...
   
Loading...