Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii sekta ya utalii Zanzibar inaingiza pesa nyingi sana, lakini maskini wa Mungu pesa yote (60%) inaenda Italy. Ukiangalia idadi kubwa ya watalii Znz ni kutoka Italy hawa wanakodi ndege toka kwao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Mwaka 2010 ndio uko mwanzoni kabisa pamoja na ni vizuri tuangalia matisho ya uhalifu unaoweza kufanyika kwa njia ya mtandao kwa mwaka huu ili wengi wetu waweze kuwa makini zaidi . Si unajua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekaa na kuwazua hivi je ni kwanini wachawi ni watu masikini sana na wanaoishi maisha duni yasiyo na mbele wala nyuma? Nimewaza na kuwazua lakini jibu sijalipata. Mimi binafsi natamani sana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada! Tetesi zaidi ni kwamba...
0 Reactions
78 Replies
12K Views
Poleni na majukumu wana JF! Kuna rafiki yangu amepata gari kwa reasonable price toka kwa car dealer aliye Japan anaitwa BUDDY CORPORATION. Nimejaribu kumshauri afanye due diligence ili aweze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau,naomba msaada hapa,najaribu kutafuta taarifa za hawa watu,but so far nina sufficient knoweledge.....
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kuna uhusiano gani kati ya kukaa uchi na uchawi? Numekia nilishangazwa sana na khabari na matukio mbalimbali ambayo yamekuwa yakitokea na kuripotiwa na vyombo vya ajabu. Nilichogundua ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wana JF katika harakati zangu leo nimekutana na mzungu mmoja akaniuliza natokea wapi nikamwambia Tanzania. Kwenye mazungumzo yetu akaniambia mwezi ujao anakwenda Botswana kikazi,baada ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TANGU kuanza kwa mjadala wa vita dhidi ya ufisadi, makamu wa rais, DK Ali Mohammed Shein amekuwa kimya, lakini jana aliamua kufungua mdomo na kuwataka wananchi watumie haki yao ya kupiga kura...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=i7qoX5dO7PA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani kuangalia video tu miguu inaanza kutetemeka! http://www.youtube.com/watch?v=VrGsS2IQqAg
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu ninaomba kuelimishwa kwa wale ambao wanajua zaidi, tofauti iliyopo katika uvaaji kofia kwa wanajeshi.Kwa mfano wakati wa mazishi ya Mzee Kawawa, kuna wanajeshi waliokuwa wana kofia za kijani...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Policeman suspended from duty after sex in church Published: 4 Jan 10 14:35 CET A Bavarian police officer has been suspended from duty after he was caught ringing in the New Year with a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Uhakika toka Mwanza zinasema Mv.Butiama ikiwa abiria kutoka Mwanza kwenda Ukerewe imezimika katikati ya Ziwa Victoria na yapata masaa 4 sasa hakuna msaada . Naambiwa watu wameanza kusali...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
sijui waliochimba kaburi walikuwa kina nani labda kwa sababu sikuangalia tangu mwanzo, lakini niliwaona JKT wakifukia kaburi halafu JWTZ wakatwanga Mizinga, Vipi Polisi mbona hawakushiriki zaidi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
ivi jamani wana JF vile vyandarua vya Bush vimefikia wapi ? ni watu wangapi so far wamefaidika navyo ?(wamegaiwa). ni idara gani ya serilkali inahusika na swala zima lu ugawaji na usimamizi wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NB: Taarifa yote inapatikana katika PDF Format iliyoambatanishwa. Kumbumbukumbu na Maazimio ya Kongamano Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009 Mada...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Meli iliyokuwa inatoka Mwanza kwenda Ukerewe imekkwama kwenye tope Ziwa Victoria. Meli hiyo inasadikiwa kuwa na watu zaidi ya 250 Hakuna juhudi zozote zinazochukuliwa na wahusika kuokoa maisha ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Happy new year Sio mpenzi wa miziki ya kizazi kipya, ila katika pitapita yangu kwenye utube nikakutana na miziki ya kizazi kipya na nikawa nasoma comment wanamuziki wengi wa Tanzania...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom