Naomba Msaada/maelezo

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,115
2,000
Heshima kwenu wakuu!!!!
Naomba msaada kwa watu wenye uelewa na maada hii-
Hivi mtu akitaka kuandika mtihani wa CISCO ni lazima asome shule zao ama unaweza enda tu kuripia pesa na uka andika huo mtihani???
Na je hua wana mda maalaumu wa kuandika huo mtihani ama mtu anapojisikia yupo freshi anauomba kuundika?? Na kama una mda maalumu mi miezi ipi??
nitashukuru kwa msaada wenu aksante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom